Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Umeshafuturu kipenz tulikumissπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usikilizwe una hoja ila umetia chumvi nyingi usichambe sanaπŸ˜‚
 
wanawake wa jf ni wachache kuliko wa mtaani
 
Hawataki kujituma unadhani nani Sasa hata wachoka mtu anaomba hela ya bando , ya Kodi anasema nije nikae kwako ??
As if ndio demu , wao nikuwaangalia wakina Gigi money na kufuatilia madanga ya kikebasi
Kisa huyu mwanaume uliyekutana nye wewe ndo hajitumi basi una conclude wote...don't take things too personal my dear.
 
Pa' Mac Alpho nakusalimia tu mimi mwenzio...!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimefuatilia comments , mtoa mada Yuko sahii. Hakuna mwanamke aliekuja na kusema ameolewa na anaishi na mmewe vizuri. Wote waishia kusema wanawake was JF ndo walio mtaani, au men wa siku hizi hawawajibiki. Maneno kama hayo ni proof kwamba either bado hawajaolewa au wameachika and hence , mleta mada Yuko sahii JF in shortage or abscent of wife material .

Wife material wote wameshaolewa au wako kwenye process ya kuolewa. Maana wao ni wa thamani kama lulu.
 
Asante
 

Humu JF sio sehemu ya kutafuta ndoa.

Ninyi mnaotafuta Wake mitandaoni ndio hamna vigezo vya kuwa Waume Bora(Husband material)
 
Y
You mean best of luck?
 
NAKAZIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…