Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Chai
 
Dah uliwapanga watu unakufa lakini mpaka leo unadunda.

Miezi miwili sasa imetimia.
 
Nimeanza kutumia jf as a guest kipindi hichoo 2012 naanza kidato cha kwanza kuna vitu nilikuwa natafuta google (school related) wananiletea link za jf naingia najifunza mengi na kuburudika. Kiukweli JF ilikuwa na heshima kubwa sana na nondo zilikuwa zinashushwa za moto sana. Hata members wa kipindi hicho walikuwa na 'aura' zenye mvuto sana....๐Ÿ™Œ

2016 nikajiunga rasmi.
Honestly nadhani mkongwe au newbie haijalishi, what matters is the value you bring in this community.๐Ÿ‘
 
Huyu mla mbege hana maisha, kazi kulia lia tu humu. Huyo na mshamba mwenzie Lamomy ndo wanasema kuwa mimi ni chiwawa
Chiwawa nna pic yako ๐Ÿ˜น
Ukiona umechoka kujibu wewe wape hiyo okay? ๐Ÿ˜น
 

Attachments

  • IMG_7064.jpeg
    179 KB · Views: 1
Kweli bana, mi JF nmeijua toka 2010 nilikua nazurura humu as guest tu nasoma mada mbali mbali ila nmekuja kujoin rasmi 2017 hapo nadhani baada ya kuona nakosa full access ya kuchangia na kureply sababu sikua na account..
 
Hii ni dalili ya kuzeeka sisi vijana hutuambii kuhusu jf

Yani kiukweli haipiti hata dk 10 bila kuingia jf nahisi ni wakati wangu wako ushapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ