Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅

Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 😅

Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tu😅,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hoja😅


Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu 🤔
Chai
 
Hivi kumbe min -me umejoin 2022 tu hapo 😀
Nyie new members kwa % kubwa mada zenu mnakuwa kama mmerukwa akili 😂

Nwei, WanaJF wana tabia ya kupuuza members mpya na kuna wengine wanaenda mbali zaidi ku-attack mtu sababu ni mdogo kiumri ( Hii ilikuwa sana miaka ile) namshukuru Mungu mimi sio mdogo tena
Dah uliwapanga watu unakufa lakini mpaka leo unadunda.

Miezi miwili sasa imetimia.
 
Nimeanza kutumia jf as a guest kipindi hichoo 2012 naanza kidato cha kwanza kuna vitu nilikuwa natafuta google (school related) wananiletea link za jf naingia najifunza mengi na kuburudika. Kiukweli JF ilikuwa na heshima kubwa sana na nondo zilikuwa zinashushwa za moto sana. Hata members wa kipindi hicho walikuwa na 'aura' zenye mvuto sana....🙌

2016 nikajiunga rasmi.
Honestly nadhani mkongwe au newbie haijalishi, what matters is the value you bring in this community.👏
 
Huyu mla mbege hana maisha, kazi kulia lia tu humu. Huyo na mshamba mwenzie Lamomy ndo wanasema kuwa mimi ni chiwawa
Chiwawa nna pic yako 😹
Ukiona umechoka kujibu wewe wape hiyo okay? 😹
 

Attachments

  • IMG_7064.jpeg
    IMG_7064.jpeg
    179 KB · Views: 1
Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅

Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 😅

Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tu😅,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hoja😅


Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu 🤔
Kweli bana, mi JF nmeijua toka 2010 nilikua nazurura humu as guest tu nasoma mada mbali mbali ila nmekuja kujoin rasmi 2017 hapo nadhani baada ya kuona nakosa full access ya kuchangia na kureply sababu sikua na account..
 
Bwashee ni ukweli usio na shaka, anguko la JF limeletwa na I'D nyingi kuanzia 2020+. Siku hizi hii forum haina addiction tena, kuna kipindi ilikuwa hukai dk 30 bila kulog in jamvini! Siku hizi naenda week mpaka mwezi au nikalog in halafu nakosa uzi wakusoma.

Kipindi hicho karibu kila jukwaa unakutana na uzi unavutia kiasi unashindwa uanze na uzi gani, kwanza wengi wetu humu jamvini ilituchukuwa muda kujiunga baada ya kuwa wasomaji kwa muda mrefu.

Waheshimiwe hawa wajomba wa miaka ya 2006 mpaka Tecno alivyokuja na T series zake, kiukweli hakuna kilaza miaka hiyo alikuwa na access ya internet achia mbali simu tu
Hii ni dalili ya kuzeeka sisi vijana hutuambii kuhusu jf

Yani kiukweli haipiti hata dk 10 bila kuingia jf nahisi ni wakati wangu wako ushapita
 
Back
Top Bottom