Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Hakika mkuu ,hoja kwanza.
 
Ndiyo, ni ushamba tu hakuna kingine. Unakuta mtu umemzidi kila kitu kuanzia elimu hadi umri ila sababu tu una ID mpya anajiona yeye mjanja kumbe debe tupu

JF ndio social media yenye watu wengi wa ego, self-esteem, ujuaji mwingi na kujiona bora bila sababu ya msingi. Hii ni social media, kwa sasa ina miaka karibu 20. Lazima watu/kizazi watakuwa wanapishana. Wanaingia kila leo humu na ndio uhai wa forum hii.

Hata social media zingine tunakuta watu, FB, Twitter n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…