Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Joined date ya mtu,haiwezi kua ndio justification ya kumuona mtu ni mtoto wa juzi kisa kajoin 2026,

Kwahiyo wale wote ambao sio member wa JF,ina maana kua sisi ni wakubwa kwao?

Marehemu mzee Mpiri bila shaka hakua na ID humu,so sisi tulikua ni wakubwa kwake?
 
.

Unakuta mtu yuko zake Sudan kusini, lakini anawadharau ambao hatujabahatika kutoka nje ya nchi 🀣

Hata aliepo Marekani, hapaswi kuwadharau wenzie waliopo kwenye nchi ya asili yake kwa vyovyote vile. Ni waafrika tuu ndio wana hizo mambo.

Bora JF ya sasa hivi kidogo, haya mamno yamepungua kuna miaka flani humu kulikuwa na battle kubwa sana kati ya diaspora na wenyeji. Ile battle wenyeji walishinda. Ndio maneno kama "kubeba box" yakaibuka.
Kuna miaka flani hii JF ilitaka kuonekana kama ni ya watu waliopo "majuu" au "kiwanja". Ilijifiaga hiyo dhana. 😊

Imebaki ni mtego wa kupatia mademu tuu, sisi huwa tunawachora tuu humu.
 
Kuhisi tu kwamba unadharauliwa ni kukosa kujiamini. Mtu kajiunga 2020 lakini kiumri huenda ni mtu mzima kuliko aliyejiunga 2010, mambo ya ekspozha au bahati pia yanahusika, binafsi sikuwa na bahati ya kuifaham jf mapema, huenda 2006 wakati ikiwa jambo(?) ningejuinga maana nilishakuwa active mitandaoni.

Sioni sababu ya mtu kuona anadharauliwa, labda kama hajiamini.
 
Hata Julius Nyerere kwakuwa hukuwa memba humu kuna watu watamwona ni mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…