BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
Je, anapokuwa ni mama yangu mkubwa hukumu yake inakuwaje? yaani mke wa kwanza wa babaIwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
Kwasababu kuna baadhi ya kesi zinalalamikiwa na jamii, watoto wababa kulala na mama zao wadogo baada ya kuachwa na baba, ni kutokana na wao kuwepo rika moja au hata kumzidi mama yao mdogo huyo. Na huwenda anachokipenda baba na watoto wakakikpenda kwa hiyo ni HARAMUAhsante kwa taarifa, na kwa nini unafikiria hayo...
Hukumu ni hiyo hiyo, ni HARAMU haifaiJe, anapokuwa ni mama yangu mkubwa hukumu yake inakuwaje? yaani mke wa kwanza wa baba
Hayo yatakua ni makosa ya baba zao...Kwasababu kuna baadhi ya kesi zinalalamikiwa na jamii, watoto wababa kulala na mama zao wadogo baada ya kuachwa na baba, ni kutokana na wao kuwepo rika moja au hata kumzidi mama yao mdogo huyo. Na huwenda anachokipenda baba na watoto wakakikpenda kwa hiyo ni HARAMU
Waburushi wanarithi mke mdogo wa dingiIwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
Kosa la Baba ni lipi hadi wewe mtoto ukamuoe mama mdogo?Hayo yatakua ni makosa ya baba zao...
Kipi kinawavutiaWaburushi wanarithi mke mdogo wa dingi
Sawa, ahsante, na je kinyume chake? baba kuoa mwanamke aliyeachwa na mtoto wakeHukumu ni hiyo hiyo, ni HARAMU haifai
Labda kuna kijana wake anaemendea nyumba yake ndogo ya zamani.Ahsante kwa taarifa, na kwa nini unafikiria hayo...
Ahsante sana, hivyo ndivyo ilivyoHata mtoto wa kambo ni haram kufanya nae mapenzi
Ni haram kulala na mama yako,,mke wa baba yako,mtoto wa kambo,dada yako
Ni Haramu kabisa kuoa mwanamke ambaye tayari haruhusiwi kisheria. Haijuzu ni HaramuSawa, ahsante, na je kinyume chake? baba kuoa mwanamke aliyeachwa na mtoto wake