Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
Hainaga ushemeji wanavyomesa
 
toa sababu maalim, ni kwanini?
 
toa sababu maalim, ni kwanini?
Quran. 4:23. Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
 
Mkuu bainisha hiyo ni sheria katika jamii gani maana utamaduni unatofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine.
Wengine ikitokea ivyo kuna uwezo wa kumrithi na ni kawaida tu kwahiyo ainisha ni utaratibu wa wapi huo Mkuu au ni kwa mujibu wa katiba ya JMT.
 
Ni kwa mujibu wa dini ya kiisilamu.

''Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.''' Quran. 4:23.
 
Mtoto wa Baba Mkubwa au Baba Mdogo Ruksa Kuowana. Mtoto wa Mama Mkubwa au Mama Mdogo Ruksa na Mtoto wa Mjomba au Shangazi wote hao ni Ruksa. Haya ni kwa mafundisho ya dini ya Kiislamu.
Ebanaee.... kumbe? Kwaio ukimwelewa mtoto wa dingi yako mkubwa yako ni rukhsa kumpiga mashine??🤔
 
Cheki hii... binti wa baba mdogo kaolewa mkoa tofauti na nyumbani(kabila). Asa uyo kijeba aliyemuoa binti wa baba mdogo ana mdogo wake wa kike ni.e crush sana... vipi nikimkula na kumuoa kabisa, io itakua ni dhambi?
 
Tunasoma katikai maandiko kuwa Mtume Muhammad ( s.a.w ) alimuoa Aisha “ radhi za M/Mungu ziwe juu yake= akiwa na umri wa miaka 9 nna swali hapa!!!

1) Je ni kweli alimuoa akiwa na miaka 9?
2) kwa kawaida msichana wa miaka 9 ni mdogo sana - kwa maana hiyo bila shaka alikuwa akishiriki nae tendo?
3) Allah = anaruhusu tuoe wasichana wenye miaka 9 mpaka leo? Na kama hapana kwa nini? Aliwaruhusu kufunga ndoa hiyo?

Majibu tafadhali [emoji1431]
 
Hii hukumu ni kwa watoto wanaopatikana kwa namna zote tatu?

1. BIOLOGY

2. METAPHOR

3. ADOPTION
Jawabu likiwa ndiyo ni haram, ningeomba nijibiwe na swali hili: mbona MTUME ﷺ alimuoa ZAINAB BINT JAHSH ambaye alikuwa ni mke wa mwanaye wa kuasili 'adoption' ZAYD IBN AL-HARITH?
 
Tunasoma katikai maandiko kuwa Mtume Muhammad ( s.a.w ) alimuoa Aisha “ radhi za M/Mungu ziwe juu yake= akiwa na umri wa miaka 9 nna swali hapa!!!

1) Je ni kweli alimuoa akiwa na miaka 9?
2) kwa kawaida msichana wa miaka 9 ni mdogo sana - kwa maana hiyo bila shaka alikuwa akishiriki nae tendo?
3) Allah = anaruhusu tuoe wasichana wenye miaka 9 mpaka leo? Na kama hapana kwa nini? Aliwaruhusu kufunga ndoa hiyo?

Majibu tafadhali [emoji1431]
Hello, naomba nijaribu kujibu maswali yako in sha ALLAH, nimependa sana jinsi ulivyoyawasilisha, ni wazi shabaha ni watu kujifunza
 
1) Je ni kweli alimuoa akiwa na miaka 9?

Majibu tafadhali [emoji1431]

Hadithi iliyosimuliwa na AISHA رضي الله عنه mwenyewe ambayo ni mutawatir 'multiple/numerous chain of narration or transmission' inayopatikana kwenye Sahihayn {Sahih Al Bukhari na Muslim} na kwenye Sunan {Sunan Abu Dawood, Ibn Majah na An-Nasa'i} inaeleza kwa uwazi hili suala. Hadithi hii ina mafhoom mamoja japo baadhi ya isnad 'sanad' yamepokelewa na maelezo 'matn - matini - text' machache au mengi ukilinganisha na nyingine, hadithi imechambuliwa na wanazuoni 'muhaditheen' wa fani ya hadithi "mustalah'ul hadith - science of hadith" na imepewa daraja la usahihi.

Mafhoom ya hadithi ni haya: "Mtume ﷺ alimuoa Aisha رضي الله عنه akiwa na umri wa miaka 6 na alianza kuishi naye rasmi alipofikisha umri wa miaka 9."

Marejeo ya kwanza: Sahihi Al Bukhari

1. Kitab An-Nikah, hadith namba 69, daraja: sahih

2. Kitab An-Nikah, hadith namba 70, daraja: sahih

Marejeo ya pili: Sahihi Muslim

1. Kitab namba 16 'Ndoa', hadith namba 81, daraja: sahih

2. Kitab namba 16 'Ndoa', hadith namba 82, daraja: sahih

3. Kitab namba 16 'Ndoa', hadith namba 84, daraja: sahih

Marejeo ya tatu: Sunan Abu Daud

1. Kitab Al-Adab '43', hadith namba 161, daraja: sahih

2. Kitab Al-Adab '43', hadith namba 163, daraja: sahih

Kwenye Sunan kitab hichohicho cha Adab hadith namba 162, 164 na 165 zinazungumzia tukio lilivyokuwa lakini hazijataja rika 'umri' wa Aisha Ummul mu'minin. Na kwenye Sahih Muslim hivyohivyo kitabu namba 16 hadith namba 85 inaeleza

Nagusisha baadhi ya marejeo hapa chini

Kiambata 1: Sahih Muslim

Kiambata 2: Sunan Abu Dawud

Kiambata 3: Sahih Al Bukhar
20220422_215934.jpg
20220424_222449.jpg
Screenshot_20220424-233657.jpg
 
Hadithi iliyosimuliwa na AISHA رضي الله عنه mwenyewe ambayo ni mutawatir 'multiple/numerous chain of narration or transmission' inayopatikana kwenye sahihayn {SAHIH AL BUKHARI na MUSLIM} na SUNAN ABI DAWOOD inaeleza kwa uwazi hili suala. Hadithi hii ina mafhoom mamoja japo baadhi ya isnad 'sanad' yamepokelewa na maelezo 'matn - matini - text' machache au mengi ukilinganisha na nyingine, hadithi imechambuliwa na wanazuoni wa fani ya hadithi 'mustalah'ul hadith - science of hadith' na imepewa daraja la usahihi.

Mafhoom ya hadithi ni haya: "Mtume ﷺ alimuoa Aisha رضي الله عنه akiwa na umri wa miaka 6 na alianza kuishi naye rasmi alipofikisha umri wa miaka 9."

Marejeo ya kwanza: Sahihi Al Bukhari

1. Kitab An-Nikah, hadith namba 69, daraja: sahih

2. Kitab An-Nikah, hadith namba 70, daraja: sahih

Marejeo ya pili: Sahihi Muslim

1. Kitab namba 16 'Ndoa', hadith namba 81, daraja: sahih

2. Kitab namba 16 'Ndoa', hadith namba 82, daraja: sahih

3. Kitab namba 16 'Ndoa', hadith namba 84, daraja: sahih

Marejeo ya tatu: Sunan Abu Daud

1. Kitab Al-Adab '43', hadith namba 161, daraja: sahih

2. Kitab Al-Adab '43', hadith namba 163, daraja: sahih

Kwenye Sunan kitab hichohicho cha Adab hadith namba 162, 164 na 165 zinazungumzia tukio lilivyokuwa lakini hazijataja rika 'umri' wa Aisha Ummul mu'minin. Na kwenye Sahih Muslim hivyohivyo kitabu namba 16 hadith namba 85 inaeleza

Nagusisha baadhi ya marejeo hapa chini

Kiambata 1: Sahih Muslim

Kiambata 2: Sunan Abu Dawud

Kiambata 3: Sahih Al BukharView attachment 2199494View attachment 2199495View attachment 2199497

Sawa mkuu... Asante

Hapo nimeona ukitafsiri swali la kwanza tu mkuu ndivyo eee?
 
Back
Top Bottom