Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

awe mama wa kambo mkubwa au mdogo mi nasokomeza tu.kwani nna undugu nae.akikaa vbaya kaisha hata mshua akiwa hai cause nkmaliza nyoka wangu naondoka nae
 
Hiyo inaswihi kabsa, hakuna ubaya hapo, mie dada yangu ameolewa na mtoto wa ammy yangu (Baba mkubwa)
Okay, kwa faida ya wengi kuna haja ya kubainisha wote tulioharamishiwa kuwaoa

A. 7 watokanao na undugu wa damu

B. 7 wa kunyonya na

C. 4 upande wa mke
 
Kuna watu nawafahamu waliooa mama zao wa kambo baada ya baba zao wazazi kufariki na wale waliooa wake wa kaka au wadogo zao kisingizio kikiwa eti kulea pamoja watoto wadogo walioachwa na hao baba au kaka/wadogo zao. Kunahitaji ujasiri.
 
Hata mtoto wa kambo ni haram kufanya nae mapenzi
Ni haram kulala na mama yako,,mke wa baba yako,mtoto wa kambo,dada yako
Ni haram kulala na mtoto wa mke wako, haijalishi huyo mtoto ni wako au si wako.
 
Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
🕸
 
Je akiwa mke wa mpwa wako au mwanao?
 
"Binadamu ana matundu 9 mwilini... katika hayo..." alisikika akisema kwenye kipaza sauti
 
1) Je ni kweli alimuoa akiwa na miaka 9?

Majibu tafadhali [emoji1431]

Wapo baadhi ya waislamu na wanahistoria ambao kwa mujibu wa utafiti waliofanya kuhusu umri wa Aisha pindi alipoolewa na Mtume ﷺ kwa kutumia muunganiko wa baadhi ya hadithi na matukio ya kihistoria yaliyojiri, wao wanaona kwamba Aisha aliolewa akiwa na umri wa miaka 17 au 18 na alianza kuishi rasmi na Mtume ﷺ alipokuwa na umri wa miaka 19.

Wenye maoni haya hoja zao zimejengeka katika kuchambua vipengele vifuatavyo

1. Kuzaliwa kwa Aisha
2. Tofauti ya umri wa Aisha na dada yake waliyechangia baba: Asma Bint Abu Bakr
3. Tukio la Hijiria “Hijra”: Mtume na maswahaba kuhamia Yathrib “Madina” kutoka Makka
4. Mwaka aliofariki Asma Bint Abi Bakr
5. Ushiriki wa Aisha katika vita vya Uhud

Historia sahihi inaonyesha kwamba Aisha alizaliwa miaka minne au mitano kabla ya Mtume ﷺ kuanza dawa “Utume”. Na baadhi ya vyanzo vya tareekh vinaeleza kwamba Asma Bint Abu Bakr ambaye ni dada yake Aisha alimzidi Aisha kwa zaidi ya miaka 10 (Ibn Asakir ameripoti, pia Ibn Kathir kwenye al-bidayah wa an-nihaya na wengine), Imaam Ad-Dhababi kwenye siyar a’lam an nubalah ameripoti kwamba Asma alimzidi Aisha kwa takribani miaka 13 - 19

Wenye maoni haya wanajenga hoja kwa kukokoteza kwamba Asma Bint Abu Bakr alifariki mwaka wa 73 Hijiria alipokuwa na miaka 100 (ameripoti al-hafidh Ibn Hajar Al-Asqalani kwenye tahdhib al-tahdhib, Imam Ad-Dhahab kwenye siyar alam an-nubalah na wengine katika wanazuoni wa tareekh). Na inafahamika kwamba mwaka wa kiislamu “Hijiria” ulianza kuhesabiwa baada ya Mtume na maswahaba wake kuhamia Yathrib “Madina”, kwa maana hiyo wanasema kama Asma alifariki mwaka wa 73 Hijiria akiwa na miaka 100 “kalenda ya gregorian”, ina maana wakati anahamia Yathrib “Madina” alikuwa na miaka 100 – 73 = 27.

Hivyo basi kama Asma alimzidi Aisha kwa zaidi ya miaka 10, ukichukua umri aliokuwa nao Asma 27 wakati anahamia Yathrib “Madina” ukatoa miaka 10+ aliyokuwa amemzidi Aisha ina maana Aisha wakati anahamia Yathrib “Madina” alikuwa na miaka 17 (yaani miaka 27 ya Asma kutoa miaka 10 aliyomzidi Aisha = 17).

Maoni haya pia yanaangazia ushiriki wa Aisha katika vita vya Uhud kuwa ni kiashiria cha wazi kwamba alikuwa na miaka 15+, hoja yao inazingatia sharti la umri aliloweka Mtume katika kushiriki vita hivyo; yeyote aliyekuwa na miaka 15+ ndo aliruhusiwa, waliokuwa na umri pungufu ya hapo hawakuruhusiwa. Vyanzo baadhi vya historia vinaeleza kwamba vita vya Uhud vilipiganwa mnamo mwaka 625 kwa kalenda ya Gregorian; yaani takribani kama miaka miwili au mitatu baada ya Mtume na maswahaba kuhamia Yathrib “Madina”, kwa maana hiyo wanakosoa hadithi za wazi tulizokwisha zitaja kwa kutumia sharti mbili za mwisho za uchambuzi na uhakiki wa hadithi; yaani shudh’udh “shazi – hitilafu – ikhtilaf – inconsistency – discrepancy” na ilal “dosari zilizofichikana”: wao wanaona kwamba alikuwa na miaka 15+ katika vita vya Uhud na si pungufu yake kama hadithi zilivyoeleza.

Wenye maoni haya wanahitimisha kwamba Mtume ﷺ alimuoa Aisha akiwa na miaka 17 au 18 na alianza kuishi naye rasmi alipokuwa na miaka 19.

NB: Niweke wazi kwamba maoni haya ya pili yaliyoibuliwa hayazingatiwi wala kupewa uzito na ndani yake kuna mapungufu na madhaifu chungu mzima ikiwemo; dosari/udhaifu wa marejeo yanayotumika kusimamisha hoja (vitabu vya historia ‘tareekh’ vina dosari kedekede), kupinga hadithi sahihi za wazi zilizokubaliwa na ijmaa tena kwa isnad mbalimbali zilizosimuliwa na mlengwa/mhusika “Aisha mwenyewe” (waliosoma mustalah ul hadith watakuwa wamenielewa), ufahamu mbovu wa tafsiri za hadithi (mfano: hadithi za ushiriki wa Aisha katika vita vya Uhud - alikwenda kuwapelekea maji wapiganaji/kuwasaidia majeruhi akiwa na Umm Salama, hakuwa miongoni mwa waliopigana ambao walitakiwa kuwa na miaka 15+), uchambuzi usioridhisha katika kuunganisha dalili na matukio ya tareekh yaliyothibiti kisheri’ah, kukosekana kwa dalili kutoka katika vitabu vinavyoaminiwa zaidi baada ya Quraan, maoni haya yanatupilia mbali hadithi nyingi sahihi zinazozungumzia Seerah ya Mtume au maisha ya Aisha ndani ya ndoa (mfano: kucheza na midoli – kiashiria kwamba alikuwa ni mdogo kiumri ‘maelezo ya Imam An-Nawaw’), ufahamu duni wa Seerah (mfano: mwaka aliofariki Aisha; Aisha alifariki mwaka wa 58 AH akiwa na miaka 67, kwa maana hiyo ukichukua 67 – 58 = 9, kwa maana hiyo alikuwa na umri wa miaka 9 au 8/7 "round off ya waarabu wa kale" wakati anahamia Madinah, mwaka unaoendana na hadithi alizosimulia mwenyewe), kukosekana kwa asili ya maoni yao kutoka kwa wanazuoni wakubwa wa mwanzo na waliofuatia baada yao, kushindwa kuunganisha nasw ‘nukuu’’ na nusus ‘dondoo’ za tareekh zinazoendana na riwaya zilizothibiti kisheri’ah na sababu nyinginezo ...

Hitimisho: A’ISHA aliolewa na MTUME alipokuwa na umri wa miaka 6 na aliingia katika ndoa rasmi 'jimai' alipofikisha umri wa miaka 9”. Imaam ISMAIL IBN KITHIR kwenye AL-BIDAYAH WA AN-NIHAYAH amesema ni “MUTTAFAQ ALAYH” - “IJMAA - consensus”, Haya ndiyo maoni ya haki.
 
2) Kwa kawaida msichana wa miaka 9 ni mdogo sana - kwa maana hiyo bila shaka alikuwa akishiriki nae tendo?

Majibu tafadhali [emoji1431]

Swali la pili lina sehemu kuu mbili, sehemu ya kwanza inaungana na swali la 3 na sehemu ya pili inaungana na swali la kwanza

Sehemu ya kwanza: Kwa kawaida msichana wa miaka 9 ‘AISHA’ ni mdogo sana.

Swali hili linajibiwa na Imaam At-Tirmidhiy alipoinukuu kauli ya A’ISHA aliposema “Mtoto wa kike akifika umri wa miaka 9 ni mwanamke”. Inafahamika kwamba katika historia ya mwanadamu alama kuu ya kuingia katika utu uzima “ukubwa” ni balehe “buligh” “kupevuka”. Na hili limekuwa likifanyiwa kazi katika zama zote na katika jamii zote isipokuwa katika karne hii ambapo wanaharakati wa haki za watoto wamelivalia njuga kwa kuzitaka mamlaka ziweke sheria za ukomo wa umri katika masuala ya ndoa na mahusiano.

Miaka ya nyuma katika jamii ya wayahudi “JEWS”; walikuwa wanaonelea ni vema kwa mwanamke kuingiliwa baada tu ya kupata hedhi yake ya kwanza, na baadhi yao walikuwa na utamaduni wa kuwaingilia wanawake hata ambao hawajapevuka “hawajapata hedhi”.

Kwa miaka ya nyuma kwa jamii ya wamongolia “MONGOLS” kuoa au kuolewa katika umri mdogo ilikuwa ni jambo la kawaida, mfano: GHENGHIS KHAN alioa akiwa na umri wa miaka 9, vilevile aliyemuoa alikuwa na umri mdogo; miaka 12.

Ama kwa tamaduni za waarabu; kuoa/kuolewa katika umri mdogo lilikuwa ni jambo la kawaida sana, mfano: AMR IBN AL AS alioa katika umri mdogo kiasi cha kuwa na tofauti ya miaka 10 - 13 na mwanaye ABDULLAH IBN AMR, halikadhalika AISHA kabla hajaolewa na MTUME alikuwa tayari ameshachumbiwa na JUBAIR IBN MUT’IIM ambaye kwa wakati huo hakuwa ameingia kwenye uislamu. Hivyo ilikuwa ni mambo ya kawaida kwao.

Inafahamika wazi kwamba kuwahi au kuchelewa kupevuka kunatofautina kutokana na zama, vinasaba, jiografia/mazingira, hali ya hewa “joto au baridi”, jamii na sababu nyinginezo. Kwa zama zetu imezoeleka watoto wa kike hupevuka wakiwa na umri kati ya miaka 8 – 12.

Sheri’ah ya kiislamu inazingatia “balehe” kama kigezo kikuu na kama ishara ya mtu kuingia katika ukubwa (manageable/adolescent age) na ndoa. Na katika kuliendea tendo la ndoa mambo mengine muhimu yatazingatiwa kama “ukubwa wa kimaumbile”, “kujitambua”, “uwezo” nakadhalika.

Wanahistoria wanaeleza kwamba kama katika karne ya 7 ndoa ya MTUME kwa A’SHA ingekuwa ni jambo la kushangaza kwa jamii yake basi kungepatikana/kungekuwepo hata nukuu moja hasi yenye kunyooshea kidole hilo. Kukosekana kwa pingo “objection” la ndoa yake kutoka kwa maadui/ndugu/jamaa/marafiki zake kunatoa picha kwamba lilikuwa ni jambo la kawaida na haifai kulihukumu/kulikosoa kwa kufananisha na utamaduni wa kileo wa magharibi.

Swali: Hivi binti wa miaka 10 aliyeishi miaka 2000 iliyopita ni sawa na binti wa kileo wa miaka 10?

Tafiti: Jaribu kutafiti kwa kina kuhusu umri wa MARIAM alipokuwa na ujauzito wa YESU, na umri wa MARIAM alipoolewa na YUSUPH

Tofauti na hawa tuliowataja, je historia haijaeleza watu wengine mashuhuri waliooa mabinti katika umri mdogo?

Sehemu ya pili: Je, AISHA alipokuwa na miaka 9 alikuwa akishiriki naye tendo 'jimai'?

Hili limeelezwa na AISHA mwenyewe kwa uwazi kwenye baadhi ya hadithi tulizotaja kwenye swali la kwanza na nyinginezo

1. Sahih Al Bukhari, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 69, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

2. Sahih Al Bukhari, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 70, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

Pia hadithi zifuatazo ambazo hatukuzitaja “zinajibu swali hili na la kwanza”

1. Sunan Abu Dawood, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 76, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

2. Sunan An Nasai, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 60, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

3. Sunan Ibn Majah, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 33, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

4. Sahih Al Bukhari, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 93, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

5. Sunan An Nasai, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 61, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

6. Sahih Al Bukhari, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 121, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”
 
3) Allah = anaruhusu tuoe wasichana wenye miaka 9 mpaka leo? Na kama hapana kwa nini? Aliwaruhusu kufunga ndoa hiyo?

Majibu tafadhali [emoji1431]

ALLAH anaruhusu tuoe wenye miaka 9 mpaka leo?

Naam hili kisheri’ah ni "mubah" "mubaah" "permissible" "inaruhusiwa" kuliendea kulingana na hali halisi; ni hiari ya mtu kama mazingira yote yatakuwa ni rafiki mfano; ruksa ya mamlaka na sababu nyingine za msingi.

Kinachozingatiwa katika sheri’ah ni mtoto wa kike kufika balehe "buligh"; yaani atakapopevuka tu basi atahesabika ni mwenye sifa ya kuolewa. au kama aliolewa kabla ya kupevuka kama ilivyokuwa kwa A’ISHA basi ana hiari ya kuridhia au kutoridhia ndoa yake, mfano: "Binti bikira aliyekwenda kwa MTUME kumlalamikia baada ya mzazi wake kumuoza pasina ridhaa yake, MTUME alimpa hukumu ya kuikataa/kuipinga ndoa hiyo" - riwaya inapatikana kwenye Sahih Muslim.

Moja katika masharti ya ndoa ni “Ar-ridwaa Zawjayn” ridhaa ya muoaji "zawj" na muolewa "zawja". Ni wajibu kwa walengwa kubainisha idhini zao eidha kwa tamko la wazi la kukubali/kukataa au kitendo kinachoashirikia kukubali/kukataa au kunyamaza kunakoashirika kukubali/kukataa. Kumuoza “mwanamke” bila idhini yake ni jambo lisilokubalika kisheri’ah isipokuwa kwa “mtoto mdogo - swaghiyra"; yaani binti mdogo ambaye hajui maslaha ya ndoa, katika hali hii sheri’ah inamruhusu walii wake kumuoza bila idhini yake kama ambavyo ABU BAKR alifanya kwa A’ISHA, na binti atakapopevuka kiasi cha kuweza kubeba mas’ulia ya ndoa atakuwa na hiari ya kuikubali au kuikataa ndoa hiyo, kama atakataa; uamuzi wake utaheshimiwa na utafanyiwa kazi kisheri’ah. Kama ilivyo katika ndoa nyingine vilevile ndoa ya “as-swaghiyra” sharti la matamko “Al Ijab wal Kabul” itakuwepo kama kawaida kubainisha hali ya ndoa kwa pande zote mbili “Al Ijab; yaani tamko la kuwajibisha linalotoka kwa walii kukubali kuoza binti yake” na “al Kabul – tamko la kukubali kuoa linalotoka kwa muoaji”.

Ndoa ya “as-swaghiyrah” hutekelezwa kwa kuchunga maslahi mbalimbali ya muhimu kisheri’ah kwa mfano: kuhofia kupoteza nafasi/fursa ya kumuoza kwa mchamungu, au maslahi mengine yenye tija, vilevile ndoa ya “swaghiyra” hufungwa kwa lengo la kumuepusha mtoto wa kike na fitna/uovu ulioenea katika jamii yake kwa mfano: kuziniwa hovyohovyo na kupata watoto wa vitendo haram.

Inapendeza kwa walii kutomuoza binti yake katika umri mdogo isipokuwa kunapokuwa na sababu ya msingi. Moja katika kanuni ya USOOL AL-FIQH inasema “haja ya kitu hupimwa kulingana na hali halisi” “necessity are measured by the existing circumstances”. Kwa maana hiyo, kama hamna haja ya msingi basi ni vema kutomuoza au kutokuoa binti mdogo licha ya kuwepo ruhusa ya kutekeleza hilo.

NB: Sharee’ah kuruhusu kuwaoa “as-swaghiyra” haina maana inaruhusu kuwaingilia katika udogo wao huo bila kuchunga mambo ya muhimu mfano: afya ya akili 'mentally', uwezo 'sexually', afya ya mwili - ukubwa wa maumbile 'physically' nakadhalika. As-swaghiyrah atakuwa mikononi mwa walii wake hadi pale watakapojiridhisha kwamba ni salama kumkabidhi kwa muoaji. Yaani pale atakapojitizamia na kuona anajiweza “ana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa”, na katika hilo “ukomo wa umri hauzingatiwi”; ni suala la utayari na uwezo wake; ibada zimefungamanishwa katika “ISTI’TWAA – MANIS’TA’TWAA – KUWEZA – UWEZO”, hivyo ni muhimu kuchunga mambo ya muhimu.

Marejeo: KITAB SHARH AL MUMT cha AL-UTHAYMEEN, KITAB MANHAJ SALEEKIN cha ABDURAHMAN AS-SA’D, KITABUN NIKAH cha AT-TUWAIJIRY, BULUGH AL MARAM cha AL-HAFIDH IBN HAJAR AL-ASQALANIY

Dalili:

HADITH:
1. Sunan An Nasai, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 61, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

2. Sahih Al Bukhari, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 121, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

QURAN:
1. SURAT AT TALAQ (65), AYA YA 4

Tafuta tafsiri za wafasiri wakubwa mfano: AT-TABARANI, AT-TABARI, AL-S’AD, IBN KATHIR na wengine.

Hukumu hii ni kwa jinsia zote mbili; kwa watoto wa kike wadogo na vilevile watoto wa kiume wadogo, hivyo kama una mtoto wa kiume mdogo unaweza ukamchukulia pisi yake kali halafu akishapevuka akawa anajilia pension yake taratibu hahahaha.. Vigezo na masharti kuzingatiwa

ALLAHÚ A'LAM "GOD KNOWS BEST"[/B][/I]

Nimegusisha kiambata cha Manhaj Saleeken, point nimeizungushia duara, na footnote yake nimeiweka alama ya nyota ya hovyohovyo [emoji3]View attachment 2201683
 
ALLAH anaruhusu tuoe wenye miaka 9 mpaka leo?

Naam hili kisheri’ah ni “mubah” “mubaah” “permissible” “inaruhusiwa’ kuliendea kulingana na hali halisi; ni hiari ya mtu kama mazingira yote yatakuwa ni rafiki mfano; ruksa ya mamlaka na sababu nyingine za msingi.

Kinachozingatiwa katika sheri’ah ni mtoto wa kike kufika balehe “buligh”; yaani atakapopevuka tu basi atahesabika ni mwenye sifa ya kuolewa. au kama aliolewa kabla ya kupevuka kama ilivyokuwa kwa A’ISHA basi ana hiari ya kuridhia au kutoridhia ndoa yake, mfano: "Binti bikira aliyekwenda kwa MTUME kumlalamikia baada ya mzazi wake kumuoza pasina ridhaa yake, MTUME alimpa hukumu ya kuikataa/kuipinga ndoa hiyo" - riwaya inapatikana kwenye Sahih Muslim.

Moja katika masharti ya ndoa ni “Ar-ridwaa Zawjayn” ridhaa ya muoaji "zawj" na muolewa "zawja". Ni wajibu kwa walengwa kubainisha idhini zao eidha kwa tamko la wazi la kukubali/kukataa au kitendo kinachoashirikia kukubali/kukataa au kunyamaza kunakoashirika kukubali/kukataa. Kumuoza “mwanamke” bila idhini yake ni jambo lisilokubalika kisheri’ah isipokuwa kwa “mtoto mdogo - swaghiyra"; yaani binti mdogo ambaye hajui maslaha ya ndoa, katika hali hii sheri’ah inamruhusu walii wake kumuoza bila idhini yake kama ambavyo ABU BAKR alifanya kwa A’ISHA, na binti atakapopevuka kiasi cha kuweza kubeba mas’ulia ya ndoa atakuwa na hiari ya kuikubali au kuikataa ndoa hiyo, kama atakataa; uamuzi wake utaheshimiwa na utafanyiwa kazi kisheri’ah. Kama ilivyo katika ndoa nyingine vilevile ndoa ya “as-swaghiyra” sharti la matamko “Al Ijab wal Kabul” itakuwepo kama kawaida kubainisha hali ya ndoa kwa pande zote mbili “Al Ijab; yaani tamko la kuwajibisha linalotoka kwa walii kukubali kuoza binti yake” na “al Kabul – tamko la kukubali kuoa linalotoka kwa muoaji”.

Ndoa ya “as-swaghiyrah” hutekelezwa kwa kuchunga maslahi mbalimbali ya muhimu kisheri’ah kwa mfano: kuhofia kupoteza nafasi/fursa ya kumuoza kwa mchamungu, au maslahi mengine yenye tija, vilevile ndoa ya “swaghiyra” hufungwa kwa lengo la kumuepusha mtoto wa kike na fitna/uovu ulioenea katika jamii yake kwa mfano: kuziniwa hovyohovyo na kupata watoto wa vitendo haram.

Inapendeza kwa walii kutomuoza binti yake katika umri mdogo isipokuwa kunapokuwa na sababu ya msingi. Moja katika kanuni ya USOOL AL-FIQH inasema “haja ya kitu hupimwa kulingana na hali halisi” “necessity are measured by the existing circumstances”. Kwa maana hiyo, kama hamna haja ya msingi basi ni vema kutomuoza au kutokuoa binti mdogo licha ya kuwepo ruhusu ya kutekeleza hilo.

NB: Sharee’ah kuruhusu kuwaoa “as-swaghiyra” haina maana inaruhusu kuwaingilia katika udogo wao huo bila kuchunga mambo ya muhimu mfano: afya ya akili 'mentally', uwezo 'sexually', afya ya mwili - ukubwa wa maumbile 'physically' nakadhalika. As-swaghiyrah atakuwa mikononi mwa walii wake hadi pale watakapojiridhisha kwamba ni salama kumkabidhi kwa muoaji. Yaani pale atakapojitizamia na kuona anajiweza “ana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa”, na katika hilo “ukomo wa umri hauzingatiwi”; ni suala la utayari na uwezo wake; ibada zimefungamanishwa katika “ISTI’TWAA – MANIS’TA’TWAA – KUWEZA – UWEZO”, hivyo ni muhimu kuchunga mambo ya muhimu.

Marejeo: KITAB SHARH AL MUMT cha AL-UTHAYMEEN, KITAB MANHAJ SALEEKIN cha ABDURAHMAN AS-SA’D, KITABUN NIKAH cha AT-TUWAIJIRY, BULUGH AL MARAM cha AL-HAFIDH IBN HAJAR AL-ASQALANIY

Dalili:

HADITH:
1. Sunan An Nasai, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 61, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

2. Sahih Al Bukhari, Kitab Al-Nikaah – Ndoa, Hadithi Namba 121, Daraja la Hadithi: Authentic “Sahih”

QURAN:
1. SURAT AT TALAQ (65), AYA YA 4

Tafuta tafsiri za wafasiri wakubwa mfano: AT-TABARANI, AT-TABARI, AL-S’AD, IBN KATHIR na wengine.

Hukumu hii ni kwa jinsia zote mbili; kwa watoto wa kike wadogo na vilevile watoto wa kiume wadogo, hivyo kama una mtoto wa kiume mdogo unaweza ukamchukulia pisi yake kali halafu akishapevuka akawa anajilia pension yake taratibu hahahaha.. Vigezo na masharti kuzingatiwa

ALLAHÚ A'LAM "GOD KNOWS BEST"[/B][/I]

Nimegusisha kiambata cha Manhaj Saleeken, point nimeizungushia duara, na footnote yake nimeiweka alama ya nyota ya hovyohovyo [emoji3]View attachment 2201683

Shukrani mkuu wa ufafanuzi; na wala sipingi ila inabidi nikae chini kabsa mtu aniekekeze nukta kwa nukta na nimuulize maswali na anijibu kwa uzuri tu nimuelewe; nashukuru mkuu
 
Shukrani mkuu wa ufafanuzi; na wala sipingi ila inabidi nikae chini kabsa mtu aniekekeze nukta kwa nukta na nimuulize maswali na anijibu kwa uzuri tu nimuelewe; nashukuru mkuu
Vema, karibu
 
Back
Top Bottom