Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Alipaswa kushitakiwa kwa matusi na si kesi ya uongo ya madawa ya kulevyaKatiba ya nchi haijaruhusu MATUSI NA DHARAU kwa Rais wa nchi.....
Nipe kipengele kinachoruhusu hayo.....
Hivi kuidai haki yako ndio kuwadhihaki na kuwatusi wengine?!!! Tena Rais wa nchi?!!!!
OvaKama kuna mtu anadhani upinzani umekufa basi hyo mtu amekufa kifkra!!
Humu ndani hamna wa darasa la chekechea, ni la kwanza kwenda juu...Waala,mi mbona sjataja jina la mtu hapo mkuu
Kwani Mdude kusema wembe ni uleule kaanza yeye kusema, au umeusahau wimbo ule wa TOT ya CCM unaosema: WAPINZANI WEMBE NI ULE ULEE.Naona makamanda wamepata upenyo sasa...paka ametoka vipanya vinaanza kusumbua huku na kule....
Mdude mumpime akili anaweza akawa sio mzima...kama ni mzima basi mpelekeni shule angalau ajifunze ustaarabu na kujua walau basics ya nini maana ya siasa, serikali na dola ni nini, Rais wa nchi ni nani pia.m
Tusi gani hilo? Kwani kataja sehemu ya siri ya mtu?Alipaswa kushitakiwa kwa matusi na si kesi ya uongo ya madawa ya kulevya
Mkuu hebu tuoredheshee matusi na dharau alizomfanyia rais wa nchi?Katiba ya nchi haijaruhusu MATUSI NA DHARAU kwa Rais wa nchi.....
Nipe kipengele kinachoruhusu hayo.....
Hivi kuidai haki yako ndio kuwadhihaki na kuwatusi wengine?!!! Tena Rais wa nchi?!!!!
Haya Kongamano limefanyika kwa mafanikio makubwa sana bila vurugu wala makwazo Serikali imepoteza nini? Mambo mengine serikali huwa inapenda kujitia stress.Mfungwa wa Kisiasa aliyeishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya kupangua mashitaka ya uongo yaliyotungwa na RPC wa Mbeya Ulrich Matei na washirika wake ya kusafirisha na kusambaza Madawa ya kulevya , leo amehudhuria Kongamano muhimu la Katiba (Katiba day) ambapo wameonekana watu mbalimbali wengi wakiwa ni akina mama Wakitokwa na Machozi , ikiwa ni ishara ya kumhurumia .
Mdude au Martin Luther kama anavyoitwa na vijana wa kileo , ambaye amepewa nafasi ya kusalimia Wajumbe hao aliwekwa selo kwa siku 414 kwa kesi ya uongo ili kumkomesha kutokana na itikadi yake ya kisiasa .
View attachment 1837101
View attachment 1837115
View attachment 1837117
View attachment 1837118
Nipe mfano wa matusi matatu tu kati ya hayo unayotaka kudanganya umma.Ngoja tuone mama naye akizingua kama ataanza kuporomosha matusi. Mdude ni mwanaharakati mzuri lakini sijui alikuwa anapata faida gani kuporomosha matusi non stop. Kwa matusi yale hata sasa akianza kumtukana mama laivu namna hiyo watamkamata tena.
Na hili ndio kosa la serikali ya Dikiteta uchwara na wafuasi wake. Pengine wangemstaki kwa kosa la kumdhalilisha Rais huenda wangemtia hatiani. Alivyokuwa hawana akili na roho mbaya wakataka kumsingizia kosa kubwa zaidi. Mwisho wa siku wameambulia aibuSasa hivi hao jamaa mataga huwa wanaongea tu
Mdude kama angekamatwa kwa kosa la kutukana hapo tungesema amestahili lakini unamtumia watu wamteke na kumtesa kisha unambambikia kesi ya uongo ni ujinga wa hali ya juu wa Dikteta yule
Mvuta bangi alikuwa anaongoza nchi kama headless chicken kashatupwa kuzimu anaoza huko na mafuvu yake.Chadema,
Kuna mambo mengine mnafanya ni ya kitoto sana,
Kwa hiyo mlisimamisha tena agenda yenu mhimu kuanza kulia kwa ajili ya mvuta bangi mmoja??
Aisee!!
Hili kongamano lilikuwa Pambe. Kumbe inawezekana aiseeMfungwa wa Kisiasa aliyeishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya kupangua mashitaka ya uongo yaliyotungwa na RPC wa Mbeya Ulrich Matei na washirika wake ya kusafirisha na kusambaza Madawa ya kulevya , leo amehudhuria Kongamano muhimu la Katiba (Katiba day) ambapo wameonekana watu mbalimbali wengi wakiwa ni akina mama Wakitokwa na Machozi , ikiwa ni ishara ya kumhurumia .
Mdude au Martin Luther kama anavyoitwa na vijana wa kileo , ambaye amepewa nafasi ya kusalimia Wajumbe hao aliwekwa selo kwa siku 414 kwa kesi ya uongo ili kumkomesha kutokana na itikadi yake ya kisiasa .
View attachment 1837101
View attachment 1837115
View attachment 1837117
View attachment 1837118
Enzi za shetani mwendazake meneja wa huo ukumbi leo angebinwa mapumbu mpaka akome.Cdm ya sasa ni usanii
Stress zitawaua.Mdude kapata huruma wa huu utawala, asijisahau hawezi kutukana viongozi wa nchi kwa namna yake, akitaka kujaribu moto amtukane mbowe,...keep the respect in place Raisi is not your father hata kama kakuuzaa, Raisi ndio alama ya Taifa ya kwanza huwezi kuchafua tuu eti demokrasia, ajaribu kumchafua mwenyekiti wake..
Sttess zipi?Stress zitawaua.
mmefiwa na mwendazake mmebaki kutukana njia nzima🤣🤣Sttess zipi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmefiwa na mwendazake mmebaki kutukana njia nzima[emoji1787][emoji1787]
Mimi namuambia hivi amuite mbowe fala kama huyu jamaa hatujamuokota mtaronimmefiwa na mwendazake mmebaki kutukana njia nzima[emoji1787][emoji1787]
Mkuu niamin hatorudia tena kuwa mpumbavu saivi amebaki na ujinga unaoelimishika.Ngoja tuone mama naye akizingua kama ataanza kuporomosha matusi. Mdude ni mwanaharakati mzuri lakini sijui alikuwa anapata faida gani kuporomosha matusi non stop. Kwa matusi yale hata sasa akianza kumtukana mama laivu namna hiyo watamkamata tena.