Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

Mbwe za Insta ndio zimemkamatisha mbaya zaidi wanaija wanakwambia jamaa hajawekeza kwao hela nyingi alikuwa anazitumbua huko huko Dubai.
 
Genius anajiachia hivyo kwenye mitandao
Huyo alikuwa na ushamba fulani

Ova

Serious criminals hata alama hawaachi huyu alikua fala tu aliesoma IT na wenzake wakipiga dili chafu akishapata mtaji anamove kutoka crime zone anakua msafi mkija kushtuka ana miradi ya kuonekana na magenius mchongo anaupiga peke yake sio na wengine
 
Marekani sio Ulaya mkuu, embu kuwa serious kidogo. Halafu fanya research uzijue jela za unyamwezini , yaani bora uende Segerea utakuwa salama, sio kule kaka.
Marekani sio Ulaya mkuu, embu kuwa serious kidogo. Halafu fanya research uzijue jela za unyamwezini , yaani bora uende Segerea utakuwa salama, sio kule kaka.
we movie zinakudanganya, jela za marekani ni sawa na ulaya tu, mahitaji yote muhimu, chakula kizuri, mahali pa kulala safi, usalama upi sijui unauzungumzia wewe maana kule wanajali haki zote za binadamu, ndio maana black america kwenda jela kwao ni kitu cha kawaida. wanaingia na kutoka kila siku
 

Ondoa mawazo kwamba nadanganywa na movie kwasababu mimi naishi huku kwa nusu ya maisha yangu kwa sasa. Mimi nakushauri tu, usisikilize story za vijiweni. Jela za Marekani si salama kabisa, ni kitu cha kawaida watu kubakwa au kuuawawa. Usiongee vitu usivyovijua mkuu, nakushauri fanya research kabla ya kuniquote tena.
 
Hushpuppi kama ASHIPAPI mamaeeee bora kapelekwa USA maana DUBAI hukumu yake ingekuwa simple tu!!
 
Mkuu funguka zaidi, kwahiyo sio salama? Kwani ndani ya jela hakuna ulinzi?
 
Marekani sio Ulaya mkuu, embu kuwa serious kidogo. Halafu fanya research uzijue jela za unyamwezini , yaani bora uende Segerea utakuwa salama, sio kule kaka.
Jela zao kuna gang's, weusi zao, wa Spanish zao Russia zao . Time yoyote unaweza ukauliwa.you have to watch your back hakufai. Drugs humohumo na inasemekana kifungo chake kitakuwa karibu miaka 20
Miaka 20 jela sio mchezo ila jamaa ka trend
 
Ushamba na ulimbukeni...angeishi under the radar asingedakwa kindezi...
Unaibia beberu kiakili whil u r from a shithole country in a dark continent, mvua miaka 400+, hapo ni consecutive life sentences...
Instagram influencer anaenda ku pass the soap...


Everyday is Saturday............................ 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…