Bora umewanyooshea taarifa aisee. Tena umeongea vema sana. Unajua wanasema kuna vijitu huwa vinajisahau sana.
Watu wa mijini wanahangaika sana na kupambana wanamakato ya kila aina ila ukienda vijijini huko asilimia 90 ya makato tunayolipia sisi wao hawahusiki. Hebu tuanze PAYE, TOZO, MIAMALA YA BENKI, VAT, KODI YA MAJENGO, KODI YA ARDHI, KODI YA BIASHARA, CORPORATE TAX, FINE ZA TRAFFIC BARABARA, ROAD LICENSE FEE, etc.
Hizi vitu zote zinakwenda lipia magharama ambayo wao wanalia lia sijui matibabu, ruzuku za pembejeo za kilimo, umeme wa REA, ujenzi wa miundo mbinu kama masoko na barabara.
Vibwana mdogo vipuuzi sana hivi