Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

Njaa ilishindwa kupiga 2020 na ile lockdown ya Covid19 ije kupiga mwaka huu ambao ni mwaka wa 2023?
2020 hapakuwa na TABIA hii ya wageni kuingia mashambani.

TISHIO la njaa ni dhahiri, kama una pesa, nunua vyakula vya kutosha, tunza akiba.
 
Kwa nini wananchi wote mnaotaka bei nafuu msiingie shambani kulima ili ya bei nafuu yapatikane?
Kwahiyo MURAA tuache LINDO tukalime sio?

KAZI ya wizara ya KILIMO ni ipi Hasa?
 
2020 hapakuwa na TABIA hii ya wageni kuingia mashambani.

TISHIO la njaa ni dhahiri, kama una pesa, nunua vyakula vya kutosha, tunza akiba.

Hakuna tishio la njaa mkuu watu mahindi wamepata sana mwaka huu
 
Hakuna tishio la njaa mkuu watu mahindi wamepata sana mwaka huu
Ukisubiri njaa itokee utakuwa umechelewa,

Kuanzia 2024 na kuendelea Dunia itapitia wakati ngumu ambao haijawahi tokea.
 
  • Kufunga mipaka ni njia za kizamani kuendesha nchi na mashauriabo ya kigeni - primitive.
  • Haya ni mawazo mgando yalioanza zama za Ujamaa; na kufanya kilimo kudumaa.
  • Kwa Afrika, ikiwemo Tz, kilimo ndio sekta duni kuliko zote kutokana na uvivu wa kufikiri uliopelekea kukosekana kwa ushindani wa bei za bidhaa zake.
  • Vijana wanakimbia kilimo kwa kutokuwepo bei halisi. Watu wazoee uhalisia, si kuishi kwenye kinga ya kufungiwa mipaka - kudekezwa.
  • Gharama za kilimo ni kubwa, je nani yupo tayari kufilisika?
  • Wageni wananunua na serikali inunue kwa ajili ya watu wake. Je yale maghala ya serikali ni kwa ajili ya kuhifadhia nini? Kwa ajili ya nani?
  • Hao wanaokuja kununua ni jirani zetu, ndg zetu. Msidhani Tz haiwezi kupata janga litakalolazimisha kuomba msaada kwa jirani. ACHENI ROHO MBAYA ENYI MASKINI!!
 
Ni kukugawia chakula
No, ni kudhibiti mfumuko wa Bei.

Wanunue now vyakula Kutoka Kwa wakulima, vitunzwe katika maghala na ukitokea uhaba, maghala yafunguliwe Bei ziwe himilivu.

Wananchi wengi Bado ni wajinga, wanasiasa uchwara hutumia sana mwanya huo kupitisha agenda zao zenye maslah binafsi.
 
Acha kukimbia hoja???? Je huyo mkulima unaweza fidia gharama aliuzotumia shambani au unapuyanga jombaaa. Kuna mwaka nimelima mahindi napata gunia 60 nikasema nimeuaga umasikini bei ya soko la ndani tukauza elfu 24 gunia kisa kufunga mipaka. Mahindi hayo yalinitesa kukausha mvua zinapiga kila siku.
Wakalime na wao waache kuwafanya wakulima kama marobot yao.
 
MKULIMA auze ktk maghala ya sirikali, wageni wakanunue ktk maghala ya sirikali Kwa DOLLAR,

Tumekwisha nusa yajayo, Kuna njaa Kali inakwenda kuipiga Dunia, hivyo tusipowastua viongozi wetu, Nchi haitotawalika huko mbeleni.
Kwani shida iko wapi hao wakenya kununua wenyewe kwa wakulima bei nzuri wazo lako ni zuri lakini utekelezaji wake ni mgumu ni njia rahisi sana ya kuwatajirisha watu wizi utaongezeka kwenye kununua hayo mazao pia kutakuwa na ucheleweshwaji wa pesa kwa wakulima ni changamoto kumbuka serikali hawatoi pesa cash kama hao wakenya wanavyofanya
 
Kwani shida iko wapi hao wakenya kununua wenyewe kwa wakulima bei nzuri wazo lako ni zuri lakini utekelezaji wake ni mgumu ni njia rahisi sana ya kuwatajirisha watu wizi utaongezeka kwenye kununua hayo mazao pia kutakuwa na ucheleweshwaji wa pesa kwa wakulima ni changamoto kumbuka serikali hawatoi pesa cash kama hao wakenya wanavyofanya
Pesa zipo, tatizo letu waafrica ni UONGOZI BORA hamna.

Pesa za mabango Kwa billions zinapatikana, watakosa vp pesa kununua chakula Kutoka Kwa wakulima?
 
Hakuna haja ya kuzuia mahindi kutoka nje, wawaache wakulima wauze mahindi yao ilimradi tu wapate bei itakayowalipa. Watakao kuwa na njaa serikali itawapelekea mahindi ya bei nafuu. Haya mambo ndiyo yanasababisha watu waache kulima mahindi kwa sababu ya kuzalisha kwa hasara. Mahitaji yakiwa makubwa zaidi watu watazalisha zaidi. Ukiona gharama ya chakula iko juu tafuta shamba nawe ukalime
 
We jamaa wewe,kilimo cha makampuni gani huko michina imejaa mpk inalima kabeji.
Inauza kila kitu mpk mitaani ni michina,
migahawa ni michina,
Mpk kupima uzito michina
Kuchoma mahindi wamo
Kuuza yeboyebo wamo.
Kuuza vyura na minyoo wamo
Kuuza nyuchi na tako wamo
Huko Zambia ni km Kiujumla nchi ya kwao.
Wamejaa wanafanya watakacho.
Wazambia ni vijakazi tu wanatemewa mpk mate na wachina acha kulambwa vibao.
We mjinga ni kuulize unazamia hao wakulima.wanajua hata mpaka wa Conho unafananaje? Hayo mahindi wanauza bei cheee wanao fadika ni hao Madalali
Na bei haishuki sasa ukitaka bei rahisi kalime yako
 
Bunge limepitisha budget kwa ajili ya RUZUKU ya mbolea.

Bila Kodi ya wananchi kutumika kuagiza mbolea na kuweka RUZUKU, Bei ya mbolea isingekuwa hapo ilipo.

Wahuni hao hao wa wizara ya bashe wamepiga na wanachanganya mchanga kwenye viroba.

MKULIMA Badala ya kuhoji kwann mbolea haimfikii Ili kusaidia mavuno kuongezeka,

MKULIMA huyo huyo anafurahi kuwauzia makampuni ya hao hao waliohusika kuhujumu mbolea.

Ujinga utakapopungua Kwa angalau 50%, hatimaye MKULIMA atakuwa tajiri Kwa JASHO lake.
[/QUO yaani hata logic huna ,unajua kabisa mkulima hajapata hizo ruzuku halafu unataka bei ishuke , una akili wewe ? ,unajua ni nguvu kiasi gani na pesa zimetumika kuzalisha hicho chakula ? , Maisha ni yako usipolima kufa njaa
 
Wote mnao msapoti mtoa mada ni mataahira tena niwaambie endeleeni kuchelewa maana thamani ya ardhi nayo inaongeza acha sisi tiendelee kujilisha na kuuza mazao yetu ninyi si mtapewa chakula huko mlipo ajiriwa
 
Usiwapangie wakulima wapi wauze mazao yao, ardhi kanunua mwenyewe, mbolea kanunua mwenyewe, kaotesha na kupalilia mwenyewe, kavuna mwenyewe halafu baada ya kuvuna unataka umpangie wapi pa kuuza, hii sio akili ni mavi.
Wewe ni mpumbavu, tusiwapangie bei vip wakatati kila siku serikali inatoa ruzuku na pembejeo kwa wakulima unadhani hiyo ruzuku ilitoka kwenye makalio ya mama yako kama sio kodi zetu watanzania tulio watumishi na sio watumishi mbona mnakuwa wajinga jinga .
 
India Mwaka jana imezuia kuuza ngano nje unazania walikuwa wajinga? Serikali ya Kenya inavyo sa nchi nyingi zilishindwa kuwauiza mahindi kwa sabababu zina akiba kidogo uliwaza nini?
Nchi ikiendeshwa na madalali,ndiyo hivyo tena. Tutaendelea kununua unga kilo elfu 2500/= ,na Mchele elfu 3500/= wao hawana shida. Mijihera bwelele,za Kodi zetu. Hawajali MTU m
 
Usiwapangie wakulima wapi wauze mazao yao, ardhi kanunua mwenyewe, mbolea kanunua mwenyewe, kaotesha na kupalilia mwenyewe, kavuna mwenyewe halafu baada ya kuvuna unataka umpangie wapi pa kuuza, hii sio akili ni mavi.
Njaa ikitokea uje uwatetee

Kazi ya selikal ni kuangalia usalama wa nchi kwanza
Namba 1 kuhakikisha uhakika wa chakula
 
Hakuna kuzuia hapa ni Mda sasa na wakulima wanufaike na tena msitupangie bei, waje ata wagiriki uku kununua, bashe Safi sana kilimo kinainuka sasa,
 
Back
Top Bottom