View attachment 2614889
Hiyo ndio rough estimate ya GDP contribution ya kila sector Tanzania overall kilimo pekee ni kama 20% ukitoa sector ya mifugo na uvuvi ambazo ni roughly 10%.
View attachment 2614890
Makusanyo yanayotokana na kilimo na mifugo ni other taxes ambazo ni tsh 2.64 trillion.
Sasa ukirudi juu kwenye GDP kiasi kikubwa cha kwenye construction ni hela za serikali kuwekeza kwenye miundombinu huko madongo poromoko, bado ruzuku wanazopekea kwenye hiyo sector.
Zingatia almost 75% of the population mchango wao ni huo 20% kwenye GDP na makusanyo yao hayazidi ata 10% kwenye budget. Hila hao 25% waliobaki ndio wanachangia kila mtu.
Sasa Hakuna mtu anaelala njaa humu watu; wala anaesema wakulima wasiueze nje. Ila serikali inawajibu wa kuhakikisha bei ya chakula ni stable. Sio kuwa na waziri anaesema hayo haya muhusu as if hizo hela za ruzuku zinatoka kwenye familia yao.
Binafsi sikuona kuendelea na mjadala, busara pia kuelewa hasara ya kutwanga maji kwenye kinu ni kujilowesha; sasa huo utoto. Ukishaona unaejibizana nae uwezo mdogo kwanini upoteze muda wako.
Kama raisi mwenye aoni shida kusema njaa za watanzania kazielewa kipindi cha mfungo tu; na wenyewe hawaoni shida may be hao wananchi deserve what they get; shida ni pale wanapoanza kutulilia njaa wengine. Badala ya kwenda kwa Bashe na Bi Tozo.