Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

Sawa na sisi tutapigia chapuo wakulima waanze kulipa kodi ya ardhi ya kilimo, walipie VAT ya mazao yao yanapoingia sokoni, walipishwe kodi za ushuru wa forodha wanapopitisha mazao mipakani, walipe kodi ya mapato, na halimashauri ziweke tozo za mashambani kwa ekari na tozo za mapato kulingana na kilimo husika na pia ruzuku ya mbolea iondolewe kabisa mpambane na soko huria la pembejeo za kilimo.

Halafu sisi tutaendelea kuimport mazao kutoka mataifa mengine hatutanunua hata kiazi mnacholima halafu tuone hicho kiburi kitadumu muda gani.

Kilimo ni swala la uzalendo. Kama serikali haiwachaji chochote na imeweka ulinzi wa kila aina kwenye kilimo inamaanisha ninyi wakulima mnawajibika kulisha taifa as long as unatumia ardhi ya Tanzania ambayo watanzania wenzako wamekupa ruhusa ya kuitumia tena kwa uhuru bila kulipishwa chochote.

Mxiem
emoji19.png
emoji19.png
emoji19.png
hebu usinichefue hapa nisije nikakulamba makofi.
Achana na ndoto za mchana wewe, kwaiyo kwa maana iyo mkulima halipi Kodi, inamaana izo bidhaa nyingine kwa mahitaji mengine huwa wanapewa bure au? Note, kumbuka kuwa uyo mkulima ni Mtanzania pia, acheni ubinafsi Acha kutunisha misuli ya kichwa mkuu shirikisha na ubongo pia
 
Mimi naona Serikali ingeruhusu soko huria kwa pande zote mbili! Yaani kwa wakulima wa ndani kuuza mazao yao nje ya nchi kwa bei nzuri!

Lakini pia wafanyabiashara wetu nao wangeruhusiwa kuingiza chakula chenye ubora ndani ya nchi, na kukiuza kwa bei nafuu.
Both team to score,
 
Bora umewanyooshea taarifa aisee. Tena umeongea vema sana. Unajua wanasema kuna vijitu huwa vinajisahau sana.

Watu wa mijini wanahangaika sana na kupambana wanamakato ya kila aina ila ukienda vijijini huko asilimia 90 ya makato tunayolipia sisi wao hawahusiki. Hebu tuanze PAYE, TOZO, MIAMALA YA BENKI, VAT, KODI YA MAJENGO, KODI YA ARDHI, KODI YA BIASHARA, CORPORATE TAX, FINE ZA TRAFFIC BARABARA, ROAD LICENSE FEE, etc.

Hizi vitu zote zinakwenda lipia magharama ambayo wao wanalia lia sijui matibabu, ruzuku za pembejeo za kilimo, umeme wa REA, ujenzi wa miundo mbinu kama masoko na barabara.

Vibwana mdogo vipuuzi sana hivi
3440747C-848B-4134-93CE-1F13C1149444.jpeg

Hiyo ndio rough estimate ya GDP contribution ya kila sector Tanzania overall kilimo pekee ni kama 20% ukitoa sector ya mifugo na uvuvi ambazo ni roughly 10%.

D3BDFB21-096F-4DFE-B64D-3F0ABD745F0B.jpeg

Makusanyo yanayotokana na kilimo na mifugo ni other taxes ambazo ni tsh 2.64 trillion.

Sasa ukirudi juu kwenye GDP kiasi kikubwa cha kwenye construction ni hela za serikali kuwekeza kwenye miundombinu huko madongo poromoko, bado ruzuku wanazopekea kwenye hiyo sector.

Zingatia almost 75% of the population mchango wao ni huo 20% kwenye GDP na makusanyo yao hayazidi ata 10% kwenye budget. Hila hao 25% waliobaki ndio wanachangia kila mtu.

Sasa Hakuna mtu anaelala njaa humu watu; wala anaesema wakulima wasiueze nje. Ila serikali inawajibu wa kuhakikisha bei ya chakula ni stable. Sio kuwa na waziri anaesema hayo haya muhusu as if hizo hela za ruzuku zinatoka kwenye familia yao.

Binafsi sikuona kuendelea na mjadala, busara pia kuelewa hasara ya kutwanga maji kwenye kinu ni kujilowesha; sasa huo utoto. Ukishaona unaejibizana nae uwezo mdogo kwanini upoteze muda wako.

Kama raisi mwenye aoni shida kusema njaa za watanzania kazielewa kipindi cha mfungo tu; na wenyewe hawaoni shida may be hao wananchi deserve what they get; shida ni pale wanapoanza kutulilia njaa wengine. Badala ya kwenda kwa Bashe na Bi Tozo.
 
SS mkulima apo anapàta faida Gani , mkenya anapokuja kununua mazao shamban badala ya kwenye mnada
 
Watu kama huyu mleta mada wana mawazo ya kutoa watu kafara. Kwamba bora mkulima afe na umaskini lakini mfanyakazi anunue chakula kwa bei rahisi. Si ukanunue nafaka zinazokutosha uweke ndani?. Kumbuka mkulima anavyouza mapema ndivyo anavyorudi shambani kuzungusha hela
View attachment 2611264
Wakulima tuko na Bashe.
Point, full stop...piga kazi Bashe, chapa kazi kwel kwel, Naiona Tanzania ilee kilimo kinapaa, kilimo kinakuwa sasa, kilimo unakiheshimisha haswaa, 🙏👍
 
View attachment 2614889

Hiyo ndio rough estimate ya GDP contribution ya kila sector Tanzania overall kilimo pekee ni kama 20% ukitoa sector ya mifugo na uvuvi ambazo ni roughly 10%.

View attachment 2614890

Makusanyo yanayotokana na kilimo na mifugo ni other taxes ambazo ni tsh 2.64 trillion.

Sasa ukirudi juu kwenye GDP kiasi kikubwa cha kwenye construction ni hela za serikali kuwekeza kwenye miundombinu huko madongo poromoko, bado ruzuku wanazopekea kwenye hiyo sector.

Zingatia almost 75% of the population mchango wao ni huo 20% kwenye GDP na makusanyo yao hayazidi ata 10% kwenye budget. Hila hao 25% waliobaki ndio wanachangia kila mtu.

Sasa Hakuna mtu anaelala njaa humu watu; wala anaesema wakulima wasiueze nje. Ila serikali inawajibu wa kuhakikisha bei ya chakula ni stable. Sio kuwa na waziri anaesema hayo haya muhusu as if hizo hela za ruzuku zinatoka kwenye familia yao.

Binafsi sikuona kuendelea na mjadala, busara pia kuelewa hasara ya kutwanga maji kwenye kinu ni kujilowesha; sasa huo utoto. Ukishaona unaejibizana nae uwezo mdogo kwanini upoteze muda wako.

Kama raisi mwenye aoni shida kusema njaa za watanzania kazielewa kipindi cha mfungo tu; na wenyewe hawaoni shida may be hao wananchi deserve what they get; shida ni pale wanapoanza kutulilia njaa wengine. Badala ya kwenda kwa Bashe na Bi Tozo.
Kama ulishawahi kulima tusaidie ni bei gani unadhani haitamuumiza mkulima na mlaji mahindi na mpunga viuzwe bei gani
Lakini ulishawahi kujiuliza ni kwa nini watu wengi kwa sasa huko mjini hawafikirii kilimo bali wanawaza betting, bodaboda, tuma hela kwenye namba hii n.k
 
Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo...
Hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama Morogoro mahindi yameharibika mashambani kwa kukosa mvua za kutosha ...

Nakushauri Tena kwamba zuia kwanza mahindi yasiende nje ili tujitosheleze ... au serikali kupitia nrfa iingie kununua kabla hatujabaki na mabua !!

Nakufahamu hupendi kushauliwa na mtu lakini asiesikia la mkuu huvunjika
Wewe umelima wapi ukajia uchungu wa kulima?
 
Kama ulishawahi kulima tusaidie ni bei gani unadhani haitamuumiza mkulima na mlaji mahindi na mpunga viuzwe bei gani
Lakini ulishawahi kujiuliza ni kwa nini watu wengi kwa sasa huko mjini hawafikirii kilimo bali wanawaza betting, bodaboda, tuma hela kwenye namba hii n.k
It’s about inflation, serikali aiwezi kuwacha bei ya chakula ipande up to 50% halafu isione shida.

Ingekuwa ni sawa kwao wasingeficha hizo takwimu wangeweka wazi basi; bei ya main staple diet mwaka jana mchele, sembe na kitoweo ni zaidi ya 50%.

Lakini wao kupitia NSB ndio kwanza wanajitapa ilikuwa ni 9%, hizo hesabu ata wewe unaweza zipiga kwa kuchukua bei ya hizo bidhaa mwaka 2021 kulinganisha na 2022 ni zaidi ya 50% increase.

Implication ya hiyo real price increase kuna watu wataumia. Sasa watu wasiotaka kusema ukweli ina maana awakataki pia kitambua hizo bei ni shida kwa baadhi ya watu.

Busara ni serikali kuangalia real inflation na kutafuta mbinu ya za ku-stabilise labda kwenye chakula isivuke percent labda 10% based on actual facts; sasa watafikia vipi hizo targets ni jukumu la Mwigulu na Bi Tozo.

But don’t live in denial unapika data za main staple diet inflation ni 9% percent, wakati uhalisia ni over 50%. Halafu unakubali hizi figure zako ndio ukweli na uchukui hatua zozote za ku stabilise food prices.

It’s OK kuingopea dunia upo poa kama itaamua kukuamini kama hizo data zinasaidia kukupatia mikopo; ila usiishi kuamini huo uwongo ndio ukweli do something to eliviate shida za watu wanao umia na takwimu za ukweli kwa kupanda kwa bei ya chakula. These people struggle, sasa kusema ujali huko ni kuwakosea heshima. Just balance the equation.
 
Mwanzo nilijua unazo kichwani ndiyo maana nikauliza maswali yale mawili.
Ila ulivyojibu nimeamini kuendelea kukujibu wewe ni matumizi mabaya ya ubongo wangu
 
Mwanzo nilijua unazo kichwani ndiyo maana nikauliza maswali yale mawili.
Ila ulivyojibu nimeamini kuendelea kukujibu wewe ni matumizi mabaya ya ubongo wangu
Haya tufanye reserve questioning

Je kuna serikali duniani isiyowajibika ku maintain food inflation kutokana na uhalisia wa kipato cha wananchi wake?

Pili kuna research nyingi sana, ambazo zimebaini tatizo kubwa la watu kukimbilia betting ni umaskini ambao unawafanya watu kukimbilia get rich quick schemes kama kamali.

Pili pendekeza alternative ya vijana wanaozagaa mtaani; as a distraction on their free time wachezaje pool, watumie muda huo kujiliwaza na bangi au waporaji.

Shida ya watu kama nyie uelewa wenu wa uchumi zero, siasa zero, sociology zero, psychology zero; kwenye vichwa vyenu mnawaza maslahi yenu.

Huo uwezo wa ku challenge uelewa wangu huna; don’t get ahead of yourself kwa observation na conclusion unazotoa kichwani kwako wakati huna scientific arguments to back them neither economic, sociological, criminology, political or any other discipline.
 
Mkuu nchi imejaaa wajinga kwa kiwango cha kutisga, unacho swma ni sahihi kabisa, na Zambia wenyewe wampeiga Bun kuuza mahindi nje ya nchi, hili swala lipo sana Duniani huko kwa nafaka zile ambazo hutumiwa na mass,

bashe anacheza na akili za wajinga wa nchi hii, jiulize Zambia kwa nini kazuia? Kwani ni Serikali ndio inalima mahindi kule Zambia?

Bashe ni mjanja mjanja anaye jua kucheza na akili za wajinga wa nchi hii ambao ni % kubwa sana
Zambia wamezuia kuuza nje.Africa kusini hawajazuia.Kwanini usitumie mfano wa nchi iliyoendelea kuliko kuiga nchi inayojikokota?
 
Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo...
Hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama Morogoro mahindi yameharibika mashambani kwa kukosa mvua za kutosha ...

Nakushauri Tena kwamba zuia kwanza mahindi yasiende nje ili tujitosheleze ... au serikali kupitia nrfa iingie kununua kabla hatujabaki na mabua !!

Nakufahamu hupendi kushauliwa na mtu lakini asiesikia la mkuu huvunjika
nawe kalime, kisha uuze kwa bei ya chini kudhihirisha upendo ulionao kwa nchi
 
Watu kama huyu mleta mada wana mawazo ya kutoa watu kafara. Kwamba bora mkulima afe na umaskini lakini mfanyakazi anunue chakula kwa bei rahisi. Si ukanunue nafaka zinazokutosha uweke ndani?. Kumbuka mkulima anavyouza mapema ndivyo anavyorudi shambani kuzungusha hela
View attachment 2611264
Wakulima tuko na Bashe.
Alafu cha ajabu ni kuwa,mkulima akiima mwenyewe wanataka azuiwe kuja nje, lakini wenye viwanda kama bakhresa na dewji wakinunua mazao hayohayo na kuyapiga neho wakiuza nje hakuna anayelalamika.kiufupi watu wana mawazo mgando sana,wako radhi waone mkulima akiteseka lakini muhindi atajirike mjini
 
Wewe, kilimo ni biashara. Mkulima anauza anapotaka kwa bei anayotaka. Kwanini usimwambie azam au mo ashushe bei ya ngano?
Unajua mahusiano yaliyopo kati ya hazina ya CHAKULA nchini na USALAMA wa Nchi?

Kama Kweli wakulima wanatosheleza soko la ndani, mbona hatuoni competition itayoleta unafuu wa Bei masokoni na ubora wa bidhaa Kutoka masokoni?
 
Ushauri wangu kwenu ni huu hapa; kama serikali inaruhusu wakulima/wafanyabiadhara kuuza chakula nje ya nchi kwa bei nzuri, basi iruhusu pia wafanyabiashara wengine kuingiza chakula nchini na kukiuza kwa bei nafuu.

Au unaonaje. Maana hakuna sababu ya haya malalamiko! Lakini pia kulazimisha Watanzania wote kuwa wakulima.
Hujaelewa,

Kinachofanyika hapa ni kuinua wakulima au taifa kwa ujumla. Serikali inawekeza miundombinu, inawapa mbolea ya ruzuku, inazuia uingizwaji holela wa vyakula toka nje ili mkulima wa Tanzania aweze kupata soko la uhakika na hatimae aweze kuwa na pesa nyingi ambazo zitamtoa kwenye kilimo cha kienyeji mpaka atakua mkulima mwenye zana za kisasa na mwenye kufanya uzalishaji mkubwa wa mazao kama wakulima wa urusi, Ukraiňe, na kwingineko wavyozalisha

Na tukifika huko, inamaana maskini wa vijijini watakua wameokolewa.na taifa litanufaika zaidi kwani gharama za uzalishaji zitapungua kwa kua ukulima utaendeshwa kisasa na kwa zana bora (mechanical farming).

wazo lako la kutaka kuruhusu mazao yaingizwe toka nje ni wazo la kibishi sana. Ukisema hivo, na je mtu akisema serikaliiruhusu watu wamataifa mengine kuja kufanya kazi Tanzania bilavikwazo utafurahi? Au hujui mkenya hawezi kuingia kwenye soko la ajira Tanzania bila vikwazo? Unafikiri ni mkulima tu ndie analindwa?

Na mjue, kama wakenya wakiruhusiwa kufanya kazi Tanzania bila vikwazo, basi wabongo wengi mtakosa kazi. Uvivu na kingereza cha ze ze ze kitawaua.

Wenye viwanda pia wanalindwa. Lakini huoni hilo. Lakini akilindwa mkulima inakua shida.
 
Haya tufanye reserve questioning

Je kuna serikali duniani isiyowajibika ku maintain food inflation kutokana na uhalisia wa kipato cha wananchi wake?

Pili kuna research nyingi sana, ambazo zimebaini tatizo kubwa la watu kukimbilia betting ni umaskini ambao unawafanya watu kukimbilia get rich quick schemes kama kamali.

Pili pendekeza alternative ya vijana wanaozagaa mtaani; as a distraction on their free time wachezaje pool, watumie muda huo kujiliwaza na bangi au waporaji.

Shida ya watu kama nyie uelewa wenu wa uchumi zero, siasa zero, sociology zero, psychology zero; kwenye vichwa vyenu mnawaza maslahi yenu.

Huo uwezo wa ku challenge uelewa wangu huna; don’t get ahead of yourself kwa observation na conclusion unazotoa kichwani kwako wakati huna scientific arguments to back them neither economic, sociological, criminology, political or any other discipline.
  • Kelele mnapiga wakati mazuno yanepatikana; mnapohisi yanayoweka. Kelele hizi mpige wakati wa bajeti na mipango mingine ya serikali.
  • Niulizie, kwa nini wenye mitaji wanakimbilia kujenga hoteli, Kununua mabasi, n.k na si kwenye kilimo. Wajanja wachache wanawahi tenda za kuagiza pembejeo - mbolea - na si kuanzisha mashamba makubwa?
  • Je unaweza kunitajia gharama halisi za kuzalisha tani moja ya mahindi, mpunga?
  • Ukweli ni kwamba ktk mataifa yetu kilimo ni gharama sana na kuvuna ni bahati. Hakuna guarantee! Mataifa yaliyoendelea kwa kuona umuhimu wa kilimo wanaweza ruzuku kwenye pembejeo; na bima zipo.
 
Mbona walipopewa ruzuku hukusema kama watoe hela zao chakula ni usalama wa taifa acheni siasa ruzuku ni Kodi za watu wote wanaolima na wasio Lima katika nchi ujue Kuna mgawanyo wa majukumu hawezekani Kila mwana nchi awe analima je huyo mkulima akienda hospital ambiewe hajitibu hutakija kuropoka hapa kuwa sio haki
Na hao wafanyakazi walisomeshwa kwa pesa za walipa kodi. Serikali iliwagharimia lakini Leo hii wafanyakazi wanalindwa.Raia wa kigeni wanazuiwa/kuwekewa vikwazo kwenye soko la ajira Tanzania ili tu kumlinda mfanyakazi wa kitanzania.
 
Hujaelewa.
Kinachofanyika hapa ni kuinua wakulima au taifa kwa ujumla.Serikali inawekeza miundombinu,inawapa mbolea ya ruzuku,inazuia uingizwaji holela wa vyakula toka nje ili mkulima wa Tanzania aweze kupata soko la uhakika na hatimae aweze kuwa na pesa nyingi ambazo zitamtoa kwenye kilimo cha kienyeji mpaka atakua mkulima mwenye zana za kisasa na mwenye kufanya uzalishaji mkubwa wa mazao kama wakulima wa urusi, ukraiňe,na kwingineko wavyozalisha

Na tukifika huko,inamaana maskini wa vijijini watakua wameokolewa.na taifa litanufaika zaidi kwani gharama za uzalishaji zitapungua kwa kua ukulima utaendeshwa kisasa na kwa zana bora (mechanical farming).

wazo lako la kutaka kuruhusu mazao yaingizwe toka nje ni wazo la kibishi sana. Ukisema hivo, na je mtu akisema serikaliiruhusu watu wamataifa mengine kuja kufanya kazi Tanzania bilavikwazo utafurahi? Au hujui mkenya hawezi kuingia kwenye soko la ajira Tanzania bila vikwazo? Unafikiri ni mkulima tu ndie analindwa?
Na mjue,kama wakenya wakiruhusiwa kufanya kazi Tanzania bila vikwazo,basi wabongo wengi mtakosa kazi. Uvivu na kingereza cha ze ze ze kitawaua

Wenye viwanda pia wanalindwa. Lakini huoni hilo. Lakini akilindwa mkulima inakua shida
Wewe ndiyo hujaelewa sasa. Serikali imeruhusu wafanyabiashara kutoka nchi jirani kuingia nchini na kununua chakula kutoka kwa wakulima wa ndani kwa bei nzuri! Sina tatizo na hiki.

Changamoto iliyopo ni hii hapa; Kitendo hiki kimesababisha uhaba wa chakula nchini, na hivyo bei ya vyakula kuwa juu! Jambo hili limesababisha ugumu wa maisha kwa wananchi walio wengi.

Ndiyo nimetoa ushauri! Kama wakulima wetu wana uhakika wa kuuza mazao yao kwa bei nzuri kwa wafanyabiashara kutoka nchi jirani, kwa nini sasa wafanyabiashara nao wasiruhusiwe kuingiza chakula nchini ili kupunguza uhaba wa chakula na mfumuko wa bei ya nafaka?
 
Wewe,kilimo ni biashara.mkulima anauza anapotaka kwa bei anayotaka.kwanini usimwambie azam au mo ashushe bei ya ngano?
Unaweza kuainisha majukumu ya wizara ya KILIMO?

Ni yapi pia majukumu ya Waziri wa KILIMO?

Tafuta Kweli, usipeperushwe na upepo wa propaganda uchwara.
 
  • Kelele mnapiga wakati mazuno yanepatikana; mnapohisi yanayoweka. Kelele hizi mpige wakati wa bajeti na mipango mingine ya serikali.
  • Niulizie, kwa nini wenye mitaji wanakimbilia kujenga hoteli, Kununua mabasi, n.k na si kwenye kilimo. Wajanja wachache wanawahi tenda za kuagiza pembejeo - mbolea - na si kuanzisha mashamba makubwa?
  • Je unaweza kunitajia gharama halisi za kuzalisha tani moja ya mahindi, mpunga?
  • Ukweli ni kwamba ktk mataifa yetu kilimo ni gharama sana na kuvuna ni bahati. Hakuna guarantee! Mataifa yaliyoendelea kwa kuona umuhimu wa kilimo wanaweza ruzuku kwenye pembejeo; na bima zipo.
Unajuwa at basic level siasa ni sayansi ya jamii na maamuzi yake yanataka fikra za kujumuisha maamuzi ya taaluma kadhaa sio mambo mepesi kama mnavyodili kwenye ili jukwaa.

Huu ndio mukhatasari wa siasa.

Lengo la mwanasiasa ni kuelewa changamoto za jamii yake na kuzitatua: sasa uwezi kusema food inflation ya 50% sio tatizo kwa sababu NBS wamepika data kukwambia ni 9% wakati unaweza challenge. Ni jukumu la mwanasiasa kuwatetea wananchi.

Maamuzi ya siasa yanayoathiri maisha ya watu kila siku yanafanywa na watu wachache wanaotuwakilisha kuisimimamia serikali sasa kama wewe una mmbunge au wabunge wa chama kimoja ambao awaulizi matatizo yako you have a problem.

Kwanini kuna siasa duniani; kwa sababu hakuna jamii ata moja duniani watu wote wanakubaliana kwenye maamuzi ya serikali ambayo wanadhani yanafaida kwao ndio maana lengo kubwa la vyama vya siasa ni kujaribu kubalance maamuzi yao kuhakikisha yanalenga kumfurahisha kila mtu; sasa unaposikia poyoyo anaesema ajali wengine huyo elewa ajasoma siasa.

Kuna tafsiri kadha wa kadha za siasa

Siasa kama dhana ya madaraka

Siasa kama dhana ya kuongoza nchi

Siasa kama dhana ya kuongoza jamii namna ya kuishi.

Hata hayo niliyoacha yana mambo mengi ya kuelezea.

Sasa ni upumbavu wa hali ya juu kudhani wengine wote wanaompinga Bashe ni maadui; badala ya ku justify hayo maamuzi kwa misingi ya siasa.

Haa watu wenyewe unaojibizana vilaza why bother; it’s a third word

😬
 
Back
Top Bottom