Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

Ungejua tunavyohangaika na kilimo usingesema hivo jombaa. Niuze ndani ya nchi gunia moja elfu 36 anakuja mkenya gunia moja nauza laki 1 na 20 hata kama ni ww unamuzia nani hapo????
Kumbuka unapewa ruzuku ya mbolea, ardhi haulipii kodi, haulipi kodi ya mazao na kadhalika. Sasa wachokozeni TRA wawafuate huko mashambani.
 
kwa gharama zako unazijua gharama wewe mwendawazimu, au unachat ukiwa kwenye sofa kwa shemeji yako unahisi unajua kila kitu?!

Mbolea zimelipiwa ruzuku hizo, baba yako ana kampuni inayoingiza mbolea moja kwa moja kutoka mataifa ya nje ambazo hazijawekewa ruzuku, unajua bei original ya mbolea kabla haijawekewa ruzuku?!

Hiyo ardhi unalipia kodi kiasi gani, hivi wakisema ufanyiwe land assessment ya mapato yatokanayo hiyo ardhi ulipie kodi kuanzia ya ardhi na kodi ya mapato kama wakulima wa mataifa makubwa wewe utaweza kulipia nguruwe wewe?! Unalima ardhi bure unajifanya unajua gharama.

Wakisema wakufanyie makadirio ya kodi ya hayo mapato ya mauzo ya mazao mipakani, TRA wachukue chao na halimashauri wachukue chao halafu na wizara ya kilimo kupitia mamlaka zake waweke tozo zao hapo na VAT uwekewe kwa kuprocess hayo mazao yakaongezeka thamani, unadhani utakuwa na hiki kiburi chako?!

Je ukiambiwa uonyeshe usajiri wako kama mkulima mfanyabiashara una nyaraka zozote ambazo zitakutetea?!

Usijifanye mjuaji, sio kila unaebishana nae hapa JF ni mwenzako kuwa na adabu alaaaa.

Wakulima wa Tanzania hawana magharama ya kulipa serikalini sababu wanalima na kulisha taifa kizalendo hawalimi kibepari na kulisha mataifa mengine.

Sasa endeleeni kuuza wanainchi wa maeneo ya mjini waendelee kukosa bidhaa wachina waanze kugiza mzigo watu wale vyakula vya nje siku soko likiwakataa huko nje msije mnalia lia soko la ndani linawakataa. [emoji34][emoji34][emoji34]
 
hii ni hoja ya kijinga zaidi kwa mwaka 2023, nipo mbozi nanua debe kwa 12000, so acha tununue wakulima wanufaike na kazi yao
Sasa hapo umeongea nini na wewe mbona haueleweki.
 
Nenda kalangue na wewe utunze mazao mambo ya kulalamika mitandaoni bila kuchukua hatua ni ujinga
Haujasaidia na hii comment yako zaidi ya kukera tu. Fanya kama kuelewa mtu anaongea nini before haujaandika chochote kumjibu.
 
Nenda ulime ulishe familia yako, yaani unataka mwingine alime ununue bei Chee,
Sawa na sisi tutapigia chapuo wakulima waanze kulipa kodi ya ardhi ya kilimo, walipie VAT ya mazao yao yanapoingia sokoni, walipishwe kodi za ushuru wa forodha wanapopitisha mazao mipakani, walipe kodi ya mapato, na halimashauri ziweke tozo za mashambani kwa ekari na tozo za mapato kulingana na kilimo husika na pia ruzuku ya mbolea iondolewe kabisa mpambane na soko huria la pembejeo za kilimo.

Halafu sisi tutaendelea kuimport mazao kutoka mataifa mengine hatutanunua hata kiazi mnacholima halafu tuone hicho kiburi kitadumu muda gani.

Kilimo ni swala la uzalendo. Kama serikali haiwachaji chochote na imeweka ulinzi wa kila aina kwenye kilimo inamaanisha ninyi wakulima mnawajibika kulisha taifa as long as unatumia ardhi ya Tanzania ambayo watanzania wenzako wamekupa ruhusa ya kuitumia tena kwa uhuru bila kulipishwa chochote.

Mxiem [emoji19][emoji19][emoji19] hebu usinichefue hapa nisije nikakulamba makofi.
 
Na huu ndio ushauri nilitegemea kuona kwa watu wanaotetea kuwa wakulima wapewe ruhusa ya kuuza nje.
 
Hawajielewi hawa. Wanaongea kwa lawama badala ya akili. Vijitu hata havijawahi kutafiti na kujifunza madhara ya kuuza stock ya chakula ila vinakuja hapa vinachonga ngenga na kujifanya vinajua sana kilimo cha biashara pumbavu zao hawa.
 
Hapo hata hakajui nimekawekea list ya vitu ambavyo wakulima hawagharamiki kuvilipia ikiwamo kulipiwa ruzuku, kodi mbali mbali ambazo tz hakuna ndio inawapa wao urahisi wa kufanya kilimo.

Hawa madogo wasio na elimu au ufahamu au taarifa sahihi za kimasoko na takwimu za uchumi huwa wanapenda sana mihemuko. Wanakera sana.
 
Usiwapangie wakulima wapi wauze mazao yao, ardhi kanunua mwenyewe, mbolea kanunua mwenyewe, kaotesha na kupalilia mwenyewe, kavuna mwenyewe halafu baada ya kuvuna unataka umpangie wapi pa kuuza, hii sio akili ni mavi.
NDIO maana pakawa na Serikali, Kila mtu akifanya jambo atakalo nchi itakuwa ya hovyo.
Lazima Serikali imlinde mkulima na mlaji Kwa pamoja,

Mambo ya kusema tumwachie mkulima ajiamulie mwenyewe, hiyo ni Serikali ya hovyo TU Ndio inaweza ikatoa majibu kama hayo
 
Hivi wewe unajua bei ya mbolea na madawa yanayotumika kwenye kilimo kwenye soko na bei ya ndani ya Tanzania?!

Unajua ni kiasi gani kinatumika katika manunuzi huko serikalini ili kuzipa ruzuku mbolea kabla haujanunua bei ya rejareja?!

Sidhani kama umeshawahi hata kushiriki kilimo maana ungeelewa.
 
Bora umewanyooshea taarifa aisee. Tena umeongea vema sana. Unajua wanasema kuna vijitu huwa vinajisahau sana.

Watu wa mijini wanahangaika sana na kupambana wanamakato ya kila aina ila ukienda vijijini huko asilimia 90 ya makato tunayolipia sisi wao hawahusiki. Hebu tuanze PAYE, TOZO, MIAMALA YA BENKI, VAT, KODI YA MAJENGO, KODI YA ARDHI, KODI YA BIASHARA, CORPORATE TAX, FINE ZA TRAFFIC BARABARA, ROAD LICENSE FEE, etc.

Hizi vitu zote zinakwenda lipia magharama ambayo wao wanalia lia sijui matibabu, ruzuku za pembejeo za kilimo, umeme wa REA, ujenzi wa miundo mbinu kama masoko na barabara.

Vibwana mdogo vipuuzi sana hivi
 
Broo kwenye kilimo nakujua sana , na ni mdau pande hizo, hiyo mbolea unayosema ya ruzuku msimu huu imeuzwa kwa shilingi elfu 70, kwa mfuko wa kilo 50, bado ni ghali sana kwa mkulima , kumbuka kuna msimu kugoma mvua mazao yanakauka , hizo zote zinakuwa ni hasara kwa mkulima
 
You lose some and win some game!! Kama unaona mjini kugumu kwa ma kodi uliyoainisha , nenda kaishi kijijini upate huo urahisi wa umeme wa rea n.k au kalime uone mziki wake .
Wakulima waachwe wauze mazao yao kwa uhuru wanaotaka ili nao wajikwamue na hali ngumu, kama wa mjini wanaona wakulima wanafaidi ni muda muafaka kwenda kulima ili wafaidike.
 
Pigen kelele mpaka mpasuke, bashe endelea kutupambania, sasa umefika wakati wa mageuzi ya kilimo ni lazima kionekane kwel ni Uti wa mgongo wa taifa letu, tutafutieni masoko ya uhakika ya mazao yetu,
 
Wewe ndio jinga la mwisho kabisa, acha wakulima wapige hela kwa jasho lao, kama unataka kula bure nenda jela
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mda wa kupunguza viribatumbo unawadia sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ serikali haina shamba ata kama watanunua mazao it for emergency only, kama ni Kodi ata wakulima tunalipa the same na hao wa mjini.
 
Na tena mtuboreshee na miundo mbinu uku hasaa zaidi kweny mawasiliano ili iwe rahisi kuongea na wateja wetu popote pale walipo katika utafutaji wa hayo masoko
 
Mnataka kutufanya wakulima watumwa wenu sio !
Ishauri serikali ianze kulima mahindi Kwa ajili ya kuwauzia wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…