Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Kazi kweli kweli. Yani HAWA jamaa dawa yao ni kuwaacha na ujinga wao ili waendelee kupigwa huko kanisani
Tatizo kupigwa kwao ni sababu ya hofu ya kuogopa kutokuzikwa kwa Heshima,msaada wa stress za maisha,kuficha maovu na uovu wao,kutukuzwa na binadamu wenzao, na kuogopa kutengwa na ndugu jamaa na marafiki.
Kikubwa kwenye Imani za Dini ni AMANI ya Nchi yenye kuwaleta Watu pamoja kuwa na hofu ya Mungu hata kama hawamuoni.
 
"I think I have to left this forum" pitia upya hii statement yako halafu uje tena
 
Ndio maana nilikwambia wewe ni kilaza. Siwezi tena kujadiliana na wewe.

Kiranga ali ku ignore KWA sababu ya uswengwe wako.

Get off my dckkkk
Mimi sijui kutukana kwa hiyo siwez kutukana
narudia nionyeshe mstari wa kwenye biblia unao support hoja yako hili nalo ni gumu
 
vip majin hak
vp majini walikuwa wanaolewa wakiwa na umri gan?
 
Hizi Kufuru zinawasaidia nini ?
 

Halafu wanawaheshimu watu wasio wajua ( wa kwenye vitabu ) kuliko baba zao na mama zao.


Yani mbongo anamuona Lutu mtakatifu kuliko wazazi wake.

Lutu huyu huyu ambae alilala na binti zake KWA hoja dhaifu ya kisingizio cha kulewa anaonekana ni mtakatifu kuliko mama mzazi alive kuweka tumboni kuanzia ukiwa mbegu mpaka ukawa mtu kamili na baba ambae amekutunza tangu siku alipopewa taarifa ya ujauzito wako..


Mbongo brainwashed Mwambie " km ya mama ako" kwake anachukulia powa tu wala hakuoni kama unakufuru.


Ila kosea u Mwambie " Luthu alikuwa muhuni kulala na binti zake KWA kisingizio dhaifu cha pombe" anakuwa offended 1 million times kuliko alivyo kuwa offended mama ake alipo tukanwa.


Yani mtu anajiona yupo more connected na Luthu asie mjua kuliko mama ake, baba ake na babu zake anao wajua
 

Halafu wanawaheshimu watu wasio wajua ( wa kwenye vitabu ) kuliko baba zao na mama zao.


Yani mbongo anamuona Lutu mtakatifu kuliko wazazi wake. Lutu huyu huyu ambae alilala na binti zake KWA hoja dhaifu ya kisingizio cha kulewa anaonekana ni mtakatifu kuliko mama mzazi alive kuweka tumboni kuanzia ukiwa mbegu mpaka ukawa mtu kamili na baba ambae amekutunza tangu siku alipopewa taarifa ya ujauzito wako..


Mbongo brainwashed Mwambie " km ya mama ako" kwake anachukulia powa tu wala hakuoni kama unakufuru.


Ila kosea u Mwambie " Luthu alikuwa muhuni kulala na binti zake KWA kisingizio dhaifu cha pombe" anakuwa offended 1 million times kuliko alivyo kuwa offended mama ake alipo tukanwa.


Yani mtu anajiona yupo more connected na Luthu asie mjua kuliko mama ake, baba ake na babu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…