Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa sehemu ya maandalizi ya timu kuelekea michuano hiyo, huku zikitarajiwa kutumika katika mechi zao za nyumbani na ugenini wakianza na Al Hilal ya Sudan Novemba 26 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
Jezi ya Nyumbani
Jezi ya Ugenini
Jezi ya Tatu
Jezi ya Nyumbani
Jezi ya Ugenini
Jezi ya Tatu