Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

Ila ma HIPS FC bana eti rangi harisi ya timü inapotea kama hayajielewii vilee kule kwa wenzetu MAN U ashawahi vaa jez ya gold CHELSEA ashawah vaa jez za njano MADRİD ashawah vaa jez nyeusii mtuambie uhalisia wao ulipotea wapiii
Unalosema linaukweli ila nina kuhakikishia msimu huo uliona wameweka hizo rangi kama ziada tu ila huwezi kuondoa uwepo wa red na white kwa Man united na huwezi kuondoa Blue kwa Chelsea.
 
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa sehemu ya maandalizi ya timu kuelekea michuano hiyo, huku zikitarajiwa kutumika katika mechi zao za nyumbani na ugenini wakianza na Al Hilal ya Sudan Novemba 26 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
View attachment 3156793
Jezi ya Nyumbani
View attachment 3156802
Jezi ya Ugenini
View attachment 3156806
Jezi ya Tatu​
HAKUNA KITU HAPO NA KOCHA MLIVYOMFUKUZA MPAKA BURUDANI KESHOKUTWA SABA BIKA
 
Uzi sio mzuri pia sio mbaya sana kama za mwanzo za ligi..
Kuhusu rangi mbona kama mnahama kwny rangi zenu halisi?
Naona mnawavamia Azam hiyo jezi ni njano au gold au??
Haushtui hata... uzi wa utopolo ulikua ni zile za mwanzo bwana...kwa sasa naona kama marudio rudio tena kama mtumba..
Hizi habari za rangi halisi zipo Bongo tu, Liverpool anatoa hadi jezi za kijani na nyeupe, Manchester
 
Uzi sio mzuri pia sio mbaya sana kama za mwanzo za ligi..
Kuhusu rangi mbona kama mnahama kwny rangi zenu halisi?
Naona mnawavamia Azam hiyo jezi ni njano au gold au??
Haushtui hata... uzi wa utopolo ulikua ni zile za mwanzo bwana...kwa sasa naona kama marudio rudio tena kama mtumba..
hii rangi ni nzuri. Ile ya lichama ni ya hovyoo
 
Back
Top Bottom