Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikupendi lione!Kama hautaki kuja kwetu utajijua mwenyewe...nitolee bichwa lako huko...
Mo cola for everibadeee
Ahaaahaa msyuuu kiberenge weee...lione mwenyewe..na mm sikupendisikupendi lione!
Kweli kizuri chakoAhahha hiyo hapa nyekundu special kwa waganga na wachawi
Tangu wafungwe na Azam wanawaiga kila kitiHuo wa kama Gold umepoa sana aseeh
Home kit lazima iwe rangi ya club, away kit ndio unaweza kuchanganya unavyotaka. Hizo timu za ulaya hazijawahi kutengeneza home kit za rangi tofauti na rangi halisi za club. Chelsea utakuta blue ipo miaka nenda rudi, vivyo hivyo kwa Manu u utakuta rangi nyekundu.Ila ma HIPS FC bana eti rangi harisi ya timü inapotea kama hayajielewii vilee kule kwa wenzetu MAN U ashawahi vaa jez ya gold CHELSEA ashawah vaa jez za njano MADRİD ashawah vaa jez nyeusii mtuambie uhalisia wao ulipotea wapiii
Madrid ndo wanahama mpaka..Ila ma HIPS FC bana eti rangi harisi ya timü inapotea kama hayajielewii vilee kule kwa wenzetu MAN U ashawahi vaa jez ya gold CHELSEA ashawah vaa jez za njano MADRİD ashawah vaa jez nyeusii mtuambie uhalisia wao ulipotea wapiii
Azam ndio walianzisha kumbeTangu wafungwe na Azam wanawaiga kila kiti
Uzi mbayaKlabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa sehemu ya maandalizi ya timu kuelekea michuano hiyo, huku zikitarajiwa kutumika katika mechi zao za nyumbani na ugenini wakianza na Al Hilal ya Sudan Novemba 26 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
View attachment 3156793
Jezi ya Nyumbani
View attachment 3156802
Jezi ya Ugenini
View attachment 3156806
Jezi ya Tatu
Ukipata emonia mm nitachangisha wananchi hela ya matibabu niandalie kibaliKweli kizuri chako
Mimi hunivalishi hiyo rangi yenu ya Vyura, bora nitembee kifua wazi 😜
Kauze uji hukoUzi sio mzuri pia sio mbaya sana kama za mwanzo za ligi..
Kuhusu rangi mbona kama mnahama kwny rangi zenu halisi?
Naona mnawavamia Azam hiyo jezi ni njano au gold au??
Haushtui hata... uzi wa utopolo ulikua ni zile za mwanzo bwana...kwa sasa naona kama marudio rudio tena kama mtumba..