Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

In my life, sijawahi kuvaa nguo nyekundu.
Jaribu kuvaa Siku Moja kisha upige picha uone itakavyokukaa

Rangi nyekundu ni rangi Bora sana, ndiyo maana kote Duniani hupendelea kuvaa nguo zenye hiyo rangi Kila Valentine's day 😜
 
Chupi upande mmeumia sana
Kwanza rangi mnatupangia nyie kama nani?

Kwa taarifa yenu uzi wa home lazima uwe rangi husika ila away kit unaweza tumia rangi unayotaka

Jezi ya Madrid ya away ya njano mnasemaje hapo?

Uzi wa kwendea ikulu huu
Sasa kwenye hayo maflana mliozindua kuna Njano?
 
Kwani Hawa si ndo waligomea Doa jekundu la Voda wakadai sio Asili yao sasa leo Asili iko wapi?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Back
Top Bottom