Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

Naona Kuna Wana Yanga wanatoa hoja kuwa suala la rangi Asilia za jezi si kitu. Wanatoa mifano kwa vilabu vya ulaya.
Tambueni hili:-
1. Rangi Asilia ni alama ya chimbuko la klabu husika na hubeba utamaduni na desturi ya klabu.
2. Hizo timu za Ulaya huamua kuzalisha jezi zenye rangi mbali mbali kwa sababu za kimasoko tu LAKINI jezi za msingi ( rangi Asilia) lazima iwepo kila msimu.

Rangi Asilia ndiyo utambulisho wa klabu mfano: Chelsea nickname Yao ni the blues kwa sababu traditional colour Yao ni blue.

Manchester united ni red devils kwa sababu traditional colour Yao ni nyekundu.

Unapoondoka kwenye misingi ya rangi Asilia unaitupa historia Yako na kuanzisha kizazi kipya.
 
Sidhani kama wamekuelewa
 
Yanga bingwa
Uzi mkali
Hongera timu ya wananchi
 
Natural colour ya utopolo ni Njano na kijani, Vipi mbona kila jezi zikitoka ninakuwa na rangi tofauti zile za asili,
Hivi wabunifu wa jezi hawawezi kutoa dizaini nzuri ,wakibaki kwenye rangi asilia kama zifanyavyo timu za Europe (Club za Europe)??
 
Wanaume Nunueni tupate cha kuvaa tukija magetoni kuwapikia ๐Ÿ˜Š
 
Back
Top Bottom