Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa sehemu ya maandalizi ya timu kuelekea michuano hiyo, huku zikitarajiwa kutumika katika mechi zao za nyumbani na ugenini wakianza na Al Hilal ya Sudan Novemba 26 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Jezi ya Nyumbani

Jezi ya Ugenini

Jezi ya Tatu​
 
Uzi sio mzuri pia sio mbaya sana kama za mwanzo za ligi..
Kuhusu rangi mbona kama mnahama kwny rangi zenu halisi?
Naona mnawavamia Azam hiyo jezi ni njano au gold au??
Haushtui hata... uzi wa utopolo ulikua ni zile za mwanzo bwana...kwa sasa naona kama marudio rudio tena kama mtumba..
 
Hata mimi nashangaa sana, mbona wanahama kutoka kwenye traditional color zao? Kijani na njano is no more!
 
hivi wewe huwezi kukaa kwako mpk uje upige zogo kwa jirani like uzi lenu mbona sisi hatupigi kelele na limewekwa bango kubwa et mo cola! hebu kwenda huko,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…