Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

Ila ma HIPS FC bana eti rangi harisi ya timü inapotea kama hayajielewii vilee kule kwa wenzetu MAN U ashawahi vaa jez ya gold CHELSEA ashawah vaa jez za njano MADRİD ashawah vaa jez nyeusii mtuambie uhalisia wao ulipotea wapiii
 
Chupi upande mmeumia sana
Kwanza rangi mnatupangia nyie kama nani?

Kwa taarifa yenu uzi wa home lazima uwe rangi husika ila away kit unaweza tumia rangi unayotaka

Jezi ya Madrid ya away ya njano mnasemaje hapo?

Uzi wa kwendea ikulu huu
 
Ila ma HIPS FC bana eti rangi harisi ya timü inapotea kama hayajielewii vilee kule kwa wenzetu MAN U ashawahi vaa jez ya gold CHELSEA ashawah vaa jez za njano MADRİD ashawah vaa jez nyeusii mtuambie uhalisia wao ulipotea wapiii
Home kit lazima iwe rangi ya club, away kit ndio unaweza kuchanganya unavyotaka. Hizo timu za ulaya hazijawahi kutengeneza home kit za rangi tofauti na rangi halisi za club. Chelsea utakuta blue ipo miaka nenda rudi, vivyo hivyo kwa Manu u utakuta rangi nyekundu.
Ila namuelewa designer wa utopolo alishatoa maelezo kuwa wanachagua rangi kulingana na mahitaji ya soko.
 
Ila ma HIPS FC bana eti rangi harisi ya timü inapotea kama hayajielewii vilee kule kwa wenzetu MAN U ashawahi vaa jez ya gold CHELSEA ashawah vaa jez za njano MADRİD ashawah vaa jez nyeusii mtuambie uhalisia wao ulipotea wapiii
Madrid ndo wanahama mpaka..
Mwaka jana tumevaa Lavender mwaka huu kuna orange na lavender mixee lightblue
 
Njano ya Yanga haikuwa na shida kabisa hizi rangi zingine acha wavae gen z mi nitabaki na njano hali Ile ya kina niyonzima
 
Klabu imejaribu kutumia wachezaji kutangaza jezi mpya ikashindikana, ikageuka kwa mamodo ikashindikana, sasa wamehamia kwa mashangazi wenye semi-trailer kuvutia biashara. Shikamoo Sheria Ngowi, wameacha jezi zao wanajadili rangi zetu.
 
Uzi mbaya
 
Kauze uji huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…