Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

Putin ni mshenzi tu......watu tuna maumivu ya Corona then unaturudisha pale pale...kama unakula kulala bure kwa Shemeji is Ok
 
Daaah yaani ugomvi wa Urusi na jamaa zake ufanye Tanazania tusifanye mambo yetu? Kwa hiyo unataka Rais Samia akitaka kusafiri mpaka aombe kibali kwa Putin?
 
 
Jibu Mtapata tabu sana kwa sababu uwezekano wa kupata rais from sukuma gang in the near future haupo kabisa. Endeleeni kuweweseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…