Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

"Black people are good for nothing else, apart from indulging in sex and marrying so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Mkuu jaribu wadigo uone.

Matumizi yake ni almost irrelevant kwangu ukilinganisha na nyumba kubwa.

Unaweza pikiwa mchicha mtamu zaidi ya samaki wa nyumba kubwa
.............Kuna mwenzako alihonga ada ya chuo na chuo hakwenda, Wadigo wanapenda chini sana.
 
😂😂😂huyo ni hausigel,hana maisha,lazima akunyenyekee ili aende chooni,umaskin mbaya
Hapo unauziwa kumeer 🤣🤣
Aisee..... wewe una shida kumkichwa.

Mwanamke inabidi amnyenyekee mwanaume wake kwa sababu moja tu 'YEYE NI MWANAMKE' na wala sio sababu za kifedha au mali.

Una tatizo kubwa sana kumkichwa. Huna budi kwenda kawe GENTAMYCINE akupeleke kwa mwamposa wakemee hilo kitu
 
"Black people are good for nothing else, apart from indulging in sex and marrying so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
That's our culture, vijana wa siku hizi hamna kila kitu, kuanzia kazi, mali hadi nguvu za kiume. Sasa unanipangia kutumia nguvu zangu xa kiume huoni comedy hapo?
 
.............Kuna mwenzako alihonga ada ya chuo na chuo hakwenda, Wadigo wanapenda chini sana.
Wanawake tumeumbiwa wanaume sio miti. Ni kama eva alivyoletwa kwa adam. Life is to live, not to live up tight.
 
We fala kweli.

Yaan mwanamke namsomeshea hadi ukoo wake unasema kanizidi kitu? Jibu la kuhusu kitandani njoo mwenyewe utoe mzigo na utapata majibu, ila baada ya hapo am sure hizi inch 8 zitafanya ushike adabu yako na usirudie tena.

Shida kubwa ni ufeminist wake ambao nimemrekebisha kiasi sababu ningemuacha mm asingewahi kuolewa kamwe
 
Cku utayokuja kujua kuwa hata huo mchepuko ukiuoa utakuwa kama uyo mkeo ndio utaacha kujisifia ujinga

Siku zote kabla ya ndoa mapenzi huwa ni motomoto ila ndoa ni kitu kingine kabsa
 
Hayo mengine hayanihusu. Naomba tu uniambie hao wadigo wanatoka mkoa/wilaya gani?
Tanga hiyo , kama unaenda horohoro mpakani na kenya upande wa kushoto pwani yote ni wadigo. Huko utapata rost safi nzito unaweza kufunga kwenye gazeti. Kazi kwako dogo!
 
"Black people are good for nothing else, apart from indulging in sex and marrying so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Ile hotuba ilikuwa na ukweli mchungu sana. Nilikuwa nairudia rudia kusoma kwa uchungu ila ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…