Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”


unataka kutuambia wewe unaweza kusali kanisa la wasenge , Gay church au kanisa la Shetani , Satanic church ??
 
Huo sio mdahalo.
Ni muhadhara. Mlio wengi mnachanganya Jesus Vs Muhammad na Jesus & Muhammad.

Mnenaji anakususia Jesus and Muhammad wala si mdahalo.
 
Kwani Islam maana yake ni nini kwa unavyofahamu wewe ????

Kwani wapi yesu alisema kuwa yeye ni mwana wa mungu ??
Kwa hiyo umeshindwa kujibu swali langu ukaona unigeuzie swali mimi tena. Wewe kwenye posts zako ndo umesema Yesu alikuwa muislamu na post nyingine ukanukuu MATHAYO 6:9 kusema Yesu sio Mungu.

Mimi nikakuuliza kama kwenye hiyo mistari Yesu alimwita Mungu "baba" na Quran inasema Allah sio baba kwa yeyote, kivipi Yesu ni muislamu. Ukasema hiyo ni lugha iliyotumika wakati ule kwa wayahudi.

Nikakuuliza kwa hiyo ni dhambi kumuita Allah "baba" kwa kiarabu ila ni ruksa kwa lugha zingine? Cha kushangaza unaniuliza mimi tena Islam ni nini! Wewe ulivyosema Yesu ni muislamu ulikuwa hujui maana ya Islam mpaka unauliza hivi?

Suala la Mwana wa Mungu mimi sikulileta kwako. Angalia vizuri hoja ya swali langu.
 
Hapo lazima muwe na special Mission tu.. hata kwenye paragragh yako ya mwisho inajieleza
 

Wapi nilikuambia kuwa ni rukhsa kumuita Mungu , baba kwa lugha nyengine ? mbona unaanza kunipakazia ??

Nilikuuliza maana ya Islamu kwa hivyo unavyofahamu wewe ili nijuwe nianze wapi kukufahamisha , mbona unaanza kupata joto mapema ?? kama huelewi si useme ufahamishwe ?? kupakaziana kutaleta faida gani ??

Swali la yesu kuwa mwana wa mungu , kwani baba mwenye mtoto humuita vipi mwanawe ?? Mbona unakimbia hapo ??
 
Unasoma vizuri kweli ninachoandika? Narudia tena. Ikiwa Yesu ni muislamu na Quran inasema Allah sio baba, Inakuwaje Yesu ambaye ni muislamu amuite Mungu "baba" kwenye mstari ulionukuu wewe?

Haya anzia popote kunifahamisha.
 
Unasoma vizuri kweli ninachoandika? Narudia tena. Ikiwa Yesu ni muislamu na Quran inasema Allah sio baba, Inakuwaje Yesu ambaye ni muislamu amuite Mungu "baba" kwenye mstari ulionukuu wewe?

Haya anzia popote kunifahamisha.

Kwani hiyo aya imo kwenye Quran ?? Una uhakika Yesu alimuita kama aya ilivyonukuliwa ??
 
So far hawajasema inahusiana na nini
ila sidhani kama itakua kama mnavofikiri
Uislam mara nyingi hua unahubiri ni jinsi gani Issa bin mariam na Muhammad SAW wanahusiana na sio kuwapambanisha
 
Wewe hujaelewa kusudi , waislamu wanamuenzi na kumkubali yesu kuliko dini zote. Lengo la huo mjadala ni kujadili jumbe walizoleta hao manabii kwa waislamu katika nyakati zao tofauti walizo kuja.
 
Kwani hiyo aya imo kwenye Quran ?? Una uhakika Yesu alimuita kama aya ilivyonukuliwa ??
Huu mstari si uliuleta wewe wa MATHAYO 6:9 ?


Mbona unauliza tena wewe kama vipi si uniambie tu Karibu kwenye mdahalo wa Dr Zakir Naik utapata majibu yako, basi ningekuelewa kibingwa.
 
unataka kutuambia wewe unaweza kusali kanisa la wasenge , Gay church au kanisa la Shetani , Satanic church ??
Ndio changamoto yenu hiyo. Kukosa uelewa wa Mambo na kukaririshwa madrassa.

Sasa unaruka hoja na kuanzisha mengine. Gay Chrch au Satanic Church linahusiana vipi na Ukristo mkuu?

Umenisikitisha sana. Aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…