Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Mkuu ukishasema Jesus inaanisha na inahusiana na Ukristo moja kwa moja. Kwanini Isingekuwa Muhaamed dhidi ya Issa ambaye ni mtu wao mkuu? Je kuna mdaharo wa upande mmoja? Tangazo lao wanataja ni mdahalo mkuu na ndio maana tittle ipo hivyo.Huo sio mdahalo.
Ni muhadhara. Mlio wengi mnachanganya Jesus Vs Muhammad na Jesus & Muhammad.
Mnenaji anakususia Jesus and Muhammad wala si mdahalo.