Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Huo sio mdahalo.
Ni muhadhara. Mlio wengi mnachanganya Jesus Vs Muhammad na Jesus & Muhammad.

Mnenaji anakususia Jesus and Muhammad wala si mdahalo.
Mkuu ukishasema Jesus inaanisha na inahusiana na Ukristo moja kwa moja. Kwanini Isingekuwa Muhaamed dhidi ya Issa ambaye ni mtu wao mkuu? Je kuna mdaharo wa upande mmoja? Tangazo lao wanataja ni mdahalo mkuu na ndio maana tittle ipo hivyo.
 
Kwahiyo una uhakika kuwa Mkristo haingii Kanisa lolote lile la dhehebu lolote lile?
Jambo usilo lijua asiwe unaliongea.
Ndio Roman Catholic awezi fanya ibada Lutheran,na hivyo hivyo kufanya ibada kwa msabato,mlokole yoyote,mprotestant,A O G,nk,na vitabu vyao ni tofauti,katika uislamu kote duniani Quran ni ile ile na ibada zile zile uwe Tanzania uwe uchina nk,uliza utaambiwa.
 
Wewe hujaelewa kusudi , waislamu wanamuenzi na kumkubali yesu kuliko dini zote. Lengo la huo mjadala ni kujadili jumbe walizoleta hao manabii kwa waislamu katika nyakati zao tofauti walizo kuja.
Waislam wao wanamkubali na kumuenzi Issa bin mariam na sio Yesu Kristo wa Nazareth.
 
Katika uislamu tofauti yetu ni ndogo sana,kiasi kwamba haiwezi kuleta athari yoyote na mtu wa nje hawezi kuiona abadani, muislamu anaweza kuswalia msikiti wowote ule bila tatizo,lkn kwenu si hivyo.
Tofauti ni kubwa sana mpaka hupelekea mauaji ya kikatili kati ya Sunni vs Shia.
 
Ndio changamoto yenu hiyo. Kukosa uelewa wa Mambo na kukaririshwa madrassa.

Sasa unaruka hoja na kuanzisha mengine. Gay Chrch au Satanic Church linahusiana vipi na Ukristo mkuu?

Umenisikitisha sana. Aiseeeee

maneno haya kaandika nani ??

Roboti Wa Nape said:


Wacha uongo wewe. Nani anakataa kusali kanisa lolote?


Ndio nikakuuliza ,

unataka kutuambia wewe unaweza kusali kanisa la wasenge , Gay church au kanisa la Shetani , Satanic church ??

Tulia ujibu swali kwa furaha
 
Wanafanya against nani? Wanafanya sana akian Jeff Massawe na akina Ndacha ila kunakuwa na Sulle au Shekhe yule mzee msema hovyo.

Hiyo ni sawa, sasa huu ni wa nani against nani? Shekhe Sijui Zikhir atadebate na nani mkuu? Kwamba Yeye against yeye na anajadili kuhusu Muhammad na Yesu.

Wangesema amekuja kutoa darasa au mawaidha kwa waislamu ni sawa ila kosa ni hilo la kuwa mdahalo lakini anafanya mwenyewe.
Huyo Sheikh ni mjanja mjanja tu. Kiboko yake ni Christian Prince, kuna siku CP akaingia kwenye the so called online mdahalo wake, alitetemeka kweli kweli

View: https://youtu.be/1lYMqt4M_gg?si=fCLcKxvbx5FTy-SM

View: https://youtube.com/shorts/zpnGRzYvCqI?si=J3er4SYtKANwFZn9
 
Simbaulanga tu au ndacha anaweza kumpelekea moto huyo kanjibay hadi akarudi alikotokea kwa kuogelea.
 
maneno haya kaandika nani ??

Roboti Wa Nape said:


Wacha uongo wewe. Nani anakataa kusali kanisa lolote?


Ndio nikakuuliza ,

unataka kutuambia wewe unaweza kusali kanisa la wasenge , Gay church au kanisa la Shetani , Satanic church ??

Tulia ujibu swali kwa furaha
Maneno ya Quran kaandika nani?
 
YESU lazima ajadiliwe. Yeye ni mwokozi wa ulimwengu. Hata Mohamed anamtumaini yeye.

Na Siku za mwisho injili itahuburiwa Dunia kote hii ni pamoja na misikitini.
Konachotatiza hapa ni state TV kurusha huo mkutano huo wenye ishara za kuzua sintofahamu miongoni mwa raia wa nchi husika.

Vv

Vc
 
labda uliandika wewe na babayo , umejibadilisha id unajisahau ??
Nani kabadilisha ID mkuu? We hujielewi nimeshakupuuzia mkuu. Yaani unasema niingie kwenye ibada ya mashoga na mashetani.

Una akili kweli wewe?
 
Nani kabadilisha ID mkuu? We hujielewi nimeshakupuuzia mkuu. Yaani unasema niingie kwenye ibada ya mashoga na mashetani.

Una akili kweli wewe?

Si nilikuuliza, umepanick unaanza kujianika ?? kumbe huwezi kusali kanisa lolote usitudanganye mchana kweupe
 
Huyo Sheikh ni mjanja mjanja tu. Kiboko yake ni Christian Prince, kuna siku CP akaingia kwenye the so called online mdahalo wake, alitetemeka kweli kweli

View: https://youtu.be/1lYMqt4M_gg?si=fCLcKxvbx5FTy-SM

View: https://youtube.com/shorts/zpnGRzYvCqI?si=J3er4SYtKANwFZn9


Ni kweli Sheikh hawezi ku debate na shoga Christian Prince

'I didn't feel the need to say 'I am gay'': Christian Prince , reveals he never came out to his famous father Richard ... and says he struggled with self-confidence for years.​

 
Back
Top Bottom