Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”


Kwa mtazamo wa Quran, monotheism ni muhimu sana. Inaonekana kwamba kwa mtazamo wa Quran, kama watu watamwita Mungu "Baba', wanaweza kuanguka katika aina ya mawazo ya kuchanganyikiwa kwamba Baba ni baba wa Yesu, kwa maana halisi ya mwana na baba kama walivyofikia wakristo kumwita Yesu kuwa ni mwana wa Mungu.

Ikiwa Yesu ni mwana wa Mungu, kwa maana halisi, basi lazima awe kama Mungu na labda anastahili kuabudiwa pia.

Ili kuepuka mkanganyiko wa aina hii, Qur'an inachora mstari ulio wazi na kumtaja Mungu kama Rabb na kama Mola pekee.

Ingawa hakuna maelekezo ambayo yanasema kwamba Muislamu hawezi kumwita Mungu "Baba", Quran inaelezea wale wanaosema, "sisi ni watoto wa Mungu". Qur'an inauliza swali na kuuliza, "Kwa nini Mungu awaadhibu ikiwa nyinyi ni watoto wake?"

Utamaduni miongoni mwa Waislamu uliendelezwa kwa njia hii, ili tusimrejelee Mungu kama "baba".

Tunamwita yeye kama Bwana na Muumba. Hatusemi Ab, lakini tunasema, Rabb, Mtunzaji wetu. Yeye ni wa mwisho na wa mwisho. Ikiwa tutaanza kumfikiria kama Baba, basi hii inaweza kuleta fikra kama sisi ni watoto wa Mungu na tuna haki juu yake.
 
Hana majibu yoyote huyo .....maswali yangu nikiyauliza hadi huyo niliye muuliza huanza kutilia shaka alicho kiamini toka mdogo na kupoteza amani ya dini yake mwenyewe
 
D
Madhehebu ya kiislamu na Madhehebu ya kikristo yote ni dini moja kwa sababu dhehebu maana yake ni kusanyiko.la kishetani ...mungu hana madhehebu kwa sababu yeye ni mmoja nafsi moja
 
Hujalazimishwa kwenda kwake njoo hapa Mtoro kuna wahadhiri wengi tu akina Mazinge watakupa majibu
Thubutu mazingi huyu huyu chenga ndiyo anijibu maswali yangu kama yupo hapa JF muiteni tena nitachagua marefa waislamu wenzake.......wewe ujagundua kuwa waislamu hata wa humu jf unikwepa ? Mimi siyo wakristo wajinga jinga wanao danganywa na wapumbavu kina mwamposa na gamanywa na gwajima boy....
 
Hujalazimishwa kwenda kwake njoo hapa Mtoro kuna wahadhiri wengi tu akina Mazinge watakupa majibu
Wewe ni muislamu au la...kama ni muislamu niambie nikupe swali moja ukamuulize shekh wako alafu uje utupe majibu hapa
 
Wewe ndiye hata ukristo huujuwi kabisa ,umoumo na ubishi usio mashiko
 
Hana majibu yoyote huyo .....maswali yangu nikiyauliza hadi huyo niliye muuliza huanza kutilia shaka alicho kiamini toka mdogo na kupoteza amani ya dini yake mwenyewe
unaingia mitini, uganda, kenya watu wameuliza maswali - majibu mi mpaka swali liulizwe, ila wewe unatengeneza mazingira ya kuingia mitini. Unafeli sana maana yeye anasema anapenda maswali mazito na wewe unasema una maswali mazito. Kikichobaki ni wewe kufika mkuu
 
Wewe ni muislamu au la...kama ni muislamu niambie nikupe swali moja ukamuulize shekh wako alafu uje utupe majibu hapa

Anza wewe kunijibu ,kama ni mkristo, lete aya ni wapi yesu alimfufua mtu
 
Wewe ndiye hata ukristo huujuwi kabisa ,umoumo na ubishi usio mashiko
Siujui ukiristo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kuna jamaa hapa hapa jf alianzisha uzi kuelezea 666 mbona qliukacha uzi hadi watu wakawa wanashangaa au niutafute ule uzi uone mkristo mwenzako alivyo toka mbio
 

Mnaanza kuharisha hapa JF , kiingilio ni bure mnapapatika kitu gani ??
 
Hata ubongo umeanza kupunguza kasi hamwelewi kiswahili, Njooni muulize maswali msitishane bure ili watu wafaidike
Nani kakwambia mimi nina maswali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…