Mleta mada kazingua.Siamini hii habari hata kidogo... Mama hawezi kuruhusu upuuzi huu ambao madhara yake yalionekana kipindi cha JK kama sio Mkapa.... So kwa kipindi hiki hawezi kuruhusu. Mleta uzi acha uchochezi bana..... Namuamini sana mama katika kutuunganisha watanzania wote bila kujali mambo ya imani
Naelewa ndio why watumie neno Jesus wakati wao wamezoea kumuita Issa?Mkuu hapa si ni common sense, ukisto unawataja kina Mussa na wengineo waliotangulia, halikadhalika uislam unawataja kina Jesus na wengineo waliotangulia.
Hii ni common sense mkuu, hata uwe mhindu hii unaelewa
Mnataka waislamu wauache uislamu 😁Mkuu fanya ufike na yale maswali yako
Ahhaha ukabishane nao?Wanitafute mimi
Kwa kiarabu, lugha ya peponi. Mungu hajui kiswahili.Utaendeshwa kwa lugha gani huo mdahalo wa Jesus na Mohamed ?
Azam media ni pro islam.. chunguza tamthilia zao tu ambazo watoto wetu wanaziangalia.Happy xmass
Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdaharo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus
Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?
Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?
Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa
Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Sasa kwanini watujengee taharuki hivi. Siku hizi JF sijui imekuajeMleta mada kazingua.
Tangazo linaonesha kuwa huyo sheikh atatoa mhadhara (lecture) na sio kufanya mdahalo (dialogue). Kwenye mafundisho hayo kutakuwepo na mada ya Jesus na Muhammad kama brothers in faith.
Hii hoja yako fika kwenye hizo tarehe uulize mkuuNaelewa ndio why watumie neno Jesus wakati wao wamezoea kumuita Issa?
Sibishani nao nitawafanya wabishane wao wenyewe kwa wenyeweAhhaha ukabishane nao?
Kama huu mdahalo utafanyika tiss watakuwa wanafanya kazi gani?!Happy xmass
Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdaharo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus
Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?
Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?
Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa
Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Umesikia tangazo vizuri wamesema njoo na maswali yako yote utajibiwa means kutakuwa na majadiliano? Pia unaposema ivyo ni wazi kabisa kutakuwa na maswali ya kichokoziMleta mada kazingua.
Tangazo linaonesha kuwa huyo sheikh atatoa mhadhara (lecture) na sio kufanya mdahalo (dialogue). Kwenye mafundisho hayo kutakuwepo na mada ya Jesus na Muhammad kama brothers in faith.
😆😆😆 unanikumbusha kuna mwanangu aliniambia alikutana na mganga wake kwa mwamposaYESU lazima ajadiliwe. Yeye ni mwokozi wa ulimwengu. Hata Mohamed anamtumaini yeye.
Na Siku za mwisho injili itahuburiwa Dunia kote hii ni pamoja na misikitini.
Unapambanaga sana na faiza mkuu, jukwaa la zakir naik ni kubwa sana litakufaa. Usiingie mitini mkuu,Mnataka waislamu wauache uislamu 😁
Nilifuatilia maigizo mengi yanayorushwa na hii tv yawe ya ndani na hasa hasa ya nje mtu mwenye akili finyu atasema ni ya historia lakini mtu mwenye uwezo wa kutumia akili yake vizuri ataelewa. Nadhani hii ni TV ya UMMA na sio ya dini na imepewa kibali na TCRAHappy xmass
Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdaharo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus
Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?
Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?
Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa
Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Ahahah ase et? Hajui kiswahiliKwa kiarabu, lugha ya peponi. Mungu hajui kiswahili.
Kabisa wanakosea sana hawaAzam media ni pro islam.. chunguza tamthilia zao tu ambazo watoto wetu wanaziangalia.
Mkuu embu sikia utakuja kuona na utagundua nini nacho maanisha hapaSasa kwanini watujengee taharuki hivi. Siku hizi JF sijui imekuaje
DuhSibishani nao nitawafanya wabishane wao wenyewe kwa wenyewe
WanakibaliKama huu mdahalo utafanyika tiss watakuwa wanafanya kazi gani?!