Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Hizo nafasi spika wa bunge na naibu wake watazipata vipi? Kama hawachaguliwi na rais wala wananchi?Spika wa bunge na naibu wake wasiwe wabunge kabisa yaani asitokane na kuchaguliwa na Rais au kuchaguliwa kuwa muwakilishi wa jimbo lolote Tanzania;.
Wanaomba kugombea na watasailiwa na hivyo vyuo vikuu vitatu. Maana hivyo vyuo ndio uti wa mgongo wa elimu na ukuaji wa maendeleo yetu. Lazima apitie tanuru la moto hapo. Sifa asiwe mwanachama wa chama chochote na asiwe na mahusiano ya moja kwa moja na vyama vya siasa kabisa.Hizo nafasi spika wa bunge na naibu wake watazipata vipi? Kama hawachaguliwi na rais wala wananchi?
Aisee!Maana hivyo vyuo ndio uti wa mgongo wa elimu na ukuaji wa maendeleo yetu
Hivyo vyuo lazima vipewe heshima yake na vilazimishwe kushiriki kwenye maendeleo ya nchi kwa namna yoyote ile.Aisee!
Vina haki ya kufanya hayo yote. Endapo wakikataa, watakuwa wamekubali tukose maendeleoKwanini vyuo vitatu pekee??
Kwanini vyuo vingine havina haki??Vina haki ya kufanya hayo yote. Endapo wakikataa, watakuwa wamekubali tukose maendeleo
Mawazo finyu haya.Hivyo vyuo lazima vipewe heshima yake na vilazimishwe kushiriki kwenye maendeleo ya nchi kwa namna yoyote ile.
Wewe nchi si umeikuta kama ulivyomkuta Baba yako. Una haki ya kuongea usichokijua ukihisi unajua pasipo kujua.Mawazo finyu haya.
Mimi alumni wa UDSM Ila huu upendeleo napinga.(a) Spika na Naibu wawe wataalamu wa masuala ya Uongozi, Utawala, Uchumi na Maendeleo katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi. Hawa wataalamu wawe rasmi kutoka Vyuo vikuu hivi vifuatavyo (University of Dar es Salaam, Sokoine University na Muhimbili University pekee).
Hapa sina maana ya kunadi vyuo. Bali nazungumzia uhalisia na uhakika wa kupata maendeleo kwa kasi na utayari wa nchi. Hivyo vyuo kwa macho ya mzaha ni vyuo vya kawaida ila rejea majukumu yao kwa taifa ndio utajua kwanini nimependelea kuviweka hapo.Mimi alumni wa UDSM Ila huu upendeleo napinga.
Vipi kuhusu vyuo vingine vya ndani na wale waliosoma vyuo bra kabisa nje ya nchi?
Huoni unaweza kuacha watu wenye sifa nzuri?
Hayo mambo yenu mbaki nayo. Eneo nalopendekeza mie ni maendeleo katika taifa letu. Hii ni kubwa zaidi kuliko kuwa wabinafsi na kunyoosheana vidole.Kwa ccm hii inayowaanda wanawe na wanawe nao waje kuingiza huo mfumo sijui utaitoa wapi?. Bahati mbaya hakuna mfumo wowote mzuri wa kuichomoa,uwe wa kura,maridhiano zaidi ya kuichomoa kwa nguvu ya umma
Kwa hivyo tuache wahitimu Yale University, MIT, Cambridge, Salford, Havard, .......Hapa sina maana ya kunadi vyuo. Bali nazungumzia uhalisia na uhakika wa kupata maendeleo kwa kasi na utayari wa nchi. Hivyo vyuo kwa macho ya mzaha ni vyuo vya kawaida ila rejea majukumu yao kwa taifa ndio utajua kwanini nimependelea kuviweka hapo.
Hivyo ni vyuo vizuri sana huko ng'ambo; ulimwengu unajua hivyo. Isipokuwa sio vyuo bora katika taifa letu na ndio maana sijajikwaa hata kusemea kwa bahati jina lolote. Tukiamua hata sasa vyuo hivi 3 vinauwezo wa kufanya mapinduzi makubwa sana.Kwa hivyo tuache wahitimu Yale University, MIT, Cambridge, Salford, Havard, .......
Utoporo mtupu ..niliwaambia watu hapa jf ..mambo ya kuandika katiba au sheria niachiwe mimi kutoa muongozo ..hakuna mtanzania mwenye kufikia uwezo wangu hata kwa salimia 2% nasema hayupo..uliyo andika yote ni bure tu na logic yake ni potovu .Habari Tanzania !.
Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani.
Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo;
1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri;
(a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na udiwani.
(b) Hii itachochea maendeleo haraka vibaya mno. Pia itaondoa kuzorota kwa maendeleo mengi ndani ya halmashauri.
2. Spika wa bunge na naibu wake wasiwe wabunge kabisa yaani asitokane na kuchaguliwa na Rais au kuchaguliwa kuwa muwakilishi wa jimbo lolote Tanzania;.
(a) Spika na Naibu wawe wataalamu wa masuala ya Uongozi, Utawala, Uchumi na Maendeleo katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi. Hawa wataalamu wawe rasmi kutoka Vyuo vikuu hivi vifuatavyo (University of Dar es Salaam, Sokoine University na Muhimbili University pekee).
(b) Elimu zao kuanzia shahada ya kwanza katika fani za Maendeleo, Utawala na Uchumi.
3. Rais wa nchi asitokane na chama chochote cha kisiasa. Bali awe ni mgombea ambaye atafanyiwa usaili na vyuo vikuu vitatu (University of Dar es Salaam, Sokoine University na Muhimbili University) na akipitia vyama vya siasa vitachagua mtu wa kumnadi kama mtu wa mlengo wao na kupeleka ushawishi kwa wananchi nje na hapo tuachane na mfumo wa kizamani.
N.B
Karibu
Asante.
Mohamed Dewj, na wengine wengi mfano mzuri wa watu waliosoma hivyo vyuo na kuja kufanya vema kwenye mazingira yetu.Hivyo ni vyuo vizuri sana huko ng'ambo; ulimwengu unajua hivyo. Isipokuwa sio vyuo bora katika taifa letu na ndio maana sijajikwaa hata kusemea kwa bahati jina lolote. Tukiamua hata sasa vyuo hivi 3 vinauwezo wa kufanya mapinduzi makubwa sana.
Haaaaaaaahaaaaaaaaa !.Mohamed Dewj, na wengine wengi mfano mzuri wa watu waliosoma hivyo vyuo na kuja kufanya vema kwenye mazingira yetu.