Huu mfumo wa utawala tuuchukue ndio uwe mfumo rasmi wa uongozi na utawala

Kijana kama hauwezi kujibu swali langu achana nalo tu ufanye mambo mengine yanayoweza kukupa mkate wako kwa leo.
Unahoja za utoto.

Yaani mamlaka iliyomteua haina uwezo!?.. ila wewe mwananchi kisa ni mfuasi wa chama fulani unajipa hekima na akili sana kuwa huyo Kabudi ni mwenye uwezo mdogo kwa hisia zako kupitia simu si ndio!?..

Ndio, maana nimekuuliza swali kuwa umeshawahi ajiriwa !?. Lengo hapa ni kukupa mwanga na upate uwelewa mzuri kuwa hata uwe mzuri vipi; jamii ya watumishi ambayo utakutana nayo kwenye majukumu ya pamoja kama kikosi kazi wakiwa wabaya wewe huna pa kujitetea hata chembe.
 
Kuna comment yangu yoyote nimesema Kabudi hana uwezo ?
 
Jamaa anachekesha!
Tatizo la Tanzania hasa kwa vijana. Ukiwa na makaratasi ya ukumbusho wa darasani unajiona unajua sana. Kusoma ni chanzo cha maarifa. Maarifa maana yake ni uhalisia na uhakika wa taarifa.

Sasa kama huna taarifa ya jambo lolote; tambua huna maarifa. Sasa kazi ni kwako.
 
Back
Top Bottom