Huu mfumo wa utawala tuuchukue ndio uwe mfumo rasmi wa uongozi na utawala

Hivyo ni vyuo vizuri sana huko ng'ambo; ulimwengu unajua hivyo. Isipokuwa sio vyuo bora katika taifa letu na ndio maana sijajikwaa hata kusemea kwa bahati jina lolote. Tukiamua hata sasa vyuo hivi 3 vinauwezo wa kufanya mapinduzi makubwa sana.
UDOM,nk Hamna kitu?
 
Hivyo vyuo wahitimu wake ndo kama akina Kabudi, Benson Bana na Bashiru?
 
UDOM,nk Hamna kitu?
Ukianza hizo mambo mbona utasema wazee wa ICT - DIT, mara unajua mambo ya Chuo cha Mipango wewe, mara Chuo cha Maji, ARU, SAUT, MIST, TIA, IAA, CBE, Mzumbe University nk.

Kiukweli sijabeza huduma za hivi vyuo. Ukweli ni kwamba hivyo vyuo vitatu ndio uti wa mgongo labda wajichetue akili na kushindwa kujitambua.
 
Mambo ya maendeleo siyo majaribio.
Hayo ni maisha ya watu milioni 65.
Kwani leo hii mipango ya maendeleo ya nchi yako inatoka wapi !?..

Unahisi inaanzia kutoka kwako wewe mwananchi moja kwa moja au mavyuo ya nje ya nchi !?..
 
Kwani leo hii mipango ya maendeleo ya nchi yako inatoka wapi !?..

Unahisi inaanzia kutoka kwako wewe mwananchi moja kwa moja au mavyuo ya nje ya nchi !?..
Hapa tunazunguzia kuwapa fursa watanzania wote bila kujali wanapata elimu yao chuo gani.
Ili mradi wawe bora kuliko wenzao kwenye kazi husika.
 
Hivyo ni vyuo vizuri sana huko ng'ambo; ulimwengu unajua hivyo. Isipokuwa sio vyuo bora katika taifa letu na ndio maana sijajikwaa hata kusemea kwa bahati jina lolote. Tukiamua hata sasa vyuo hivi 3 vinauwezo wa kufanya mapinduzi makubwa sana.
Dogo hujielewi 👎
 
Badala ya kuhusisha vyuo vitatu pekee, ni bora kuwe na chombo huru kinachotathmini wagombea kwa vigezo vya uadilifu, uzoefu, uwezo wa uongozi na uzalendo.
 
ULIPOWEKA SUA,nikajua hauna akili.
 
Hayo mambo yenu mbaki nayo. Eneo nalopendekeza mie ni maendeleo katika taifa letu. Hii ni kubwa zaidi kuliko kuwa wabinafsi na kunyoosheana vidole.
Oooh...! Kumbe hujui chochote. Nimekuambia huwezi kufikia hicho unachokiota bila makijani kutoka. Ksbb kitazuia ufisadi wa haya makijani. Ndio nikakuambia labda yatoke hayo.
 
Oooh...! Kumbe hujui chochote. Nimekuambia huwezi kufikia hicho unachokiota bila makijani kutoka. Ksbb kitazuia ufisadi wa haya makijani. Ndio nikakuambia labda yatoke hayo.
Kijani ni lidude kubwa sana. Tatizo la hilo lidude nyie wananchi mnalipenda kupitiliza. Ukiwa nje huko mnaongea sana ila wakikualika na kukupa matakaso yao utaongea lugha za stara na utaisifia kufa.

Lengo langu sio hayo mambo kaka.
 
Hapa tunazunguzia kuwapa fursa watanzania wote bila kujali wanapata elimu yao chuo gani.
Ili mradi wawe bora kuliko wenzao kwenye kazi husika.
Haaaahaaaa
Kubali uwezo na weledi wa hivyo vyuo mkuu. Hapa hatujaweka upendeleo kabisa labda uwe na husda. Mfano, mbona Tanzania tangu ipate uhuru hakuna Rais Hazabe!?.. Mbona hakuna anyelalamika.
 
Haaaahaaaa
Kubali uwezo na weledi wa hivyo vyuo mkuu. Hapa hatujaweka upendeleo kabisa labda uwe na husda. Mfano, mbona Tanzania tangu ipate uhuru hakuna Rais Hazabe!?.. Mbona hakuna anyelalamika.
Kumbuka mwanzo nimesema mimi ni alumni (mhitimu) wa UDSM.
Sasa nitakuwaje na husda?
Au ullsahau maana ya neno alumni?
Kwa wanaofuatilia maandiko yangu humu JF wanajua mara nyingi najitambulisha nimesoma UDSM.
 
Hata mimi si muhitimu wa hivyo vyuo. Hata sina ndoto ya kuja kusomea hapo; isipokuwa naridhika na ukweli kuwa katika utaalamu hivyo vyuo wapo vizuri zaidi ya unavyohisi wewe. Pia kusoma chuo fulani haikupi uwezo wa kujua umuhimu wa mahali ulipokuwa. Hapa nazungumzia uwezo wa hivi vyuo na wanapaswa kupewa mazingatio sahihi hapa nchini.
 
Unamaanisha tupate viongozi wengi type ya Kabudi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…