Raisi ni Raisi tuu , huwez kuwa Sawa na raisi , ni halali yake sababu za kiusalama
Kweli wewe jeki!!!! MSUMBIJI MIAKA 15 NYUMA ilikuwa masikini kwasababu nchi zote tajiri duniani ziligoma kumpa misaada. Lakini Hayati mugabe alikuwa anaishi vizuri tu.Hoja ni unajiitaje Rais wa wanyonge ilihali unaishi kifahari? Kwani yeye ndo Rais wa kwanza kwa Nchi hii? Hatukuona haya huko nyuma, Rais kuongozana hadi na vifalu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
Kweli wewe jeki!!!! MSUMBIJI MIAKA 15 NYUMA ilikuwa masikini kwasababu nchi zote tajiri duniani ziligoma kumpa misaada. Lakini Hayati mugabe alikuwa anaishi vizuri tu.
Labda utueleze ufahari upi unaouna wewe anauishi? Maana kwa medula oblongata yangu mimi yenye 256mb inanikumbusha hajawahi hata kusafiri kwenda nje ya east africa..
Likizo zake anaenda chato sijui ufahari unaouongelea wewe ni upi?
Sent using Samsung S6 Edge
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
View attachment 1390050
Wanaitaga "Security detail" alafu wakati mwingine siyo kwamba raisi hutaka iwe hivyo ila wanaosimamia usalama wake ndio hupanga kulingana na hali waionavyo wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi ifike wakati ushabiki maandazi tuuweke pembeni tuongee real facts.. Ndicho nilichofanya..Hii post yako imekutambulisha wewe ni mtu wa aina gani.
Umaarufu wake umeongezeka maradufuMshana Jr nimekudharau sana, wewe ni lijinga. Hivi inakuwaje unamdhihaki rais wa nchi???! Hivi una akili kweli???? Idiot kabisa, na umaarufu wako hakika utashuka ndani ya jukwaa.
Ile marekana sio "big village" TZTena yule wa USA alipokuja aliingia hadi na mbwa kunusa ikulu yetu lakini mibavicha haikusema kitu zaidi ya kusifu ulinzi wa wamarekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakusema rais ndie anayeamua, amesema msafara ni mrefu sana bila kujali nani amepanga iwe hivyo.Bavicha ni kikundi cha vichaaa. Wao wanadhani rais anaamka na kusema leo nataka gari moja hahaha, hawajui taasisi ya urais inamua aina ya ulinzi, mijinga kabisa
Usidanganyike mafuta yanatumika tena mengi tuKwaninj mnalishwa mstango pori mnakubali?
Kwa taarifa yako hayo magari hayanywi maguta kama mnavyoambiwa. Kuna speed yakifika yanaanza kutumia umeme. Uliza wanaoyaendesha watakuambia
God save us
Ulinzi wa rais ni sawa na Law ya D&S, panapokuwa na threat lazima ulinzi uongezwe, so si matakwa ya mtu mmoja bali ni situation ndiyo inaamua, na ndiyo maana tunawaona hamna akili kushobokea vitu haviwahusu badala ya kuleta hoja za maendeleo.Hakusema rais ndie anayeamua, amesema msafara ni mrefu sana bila kujali nani amepanga iwe hivyo.
Kwani ukisoma vizuri kabla ya kucomment kuna ubaya gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi ni raisi, fahari mama wa ujinga. Kwa nini viongozi wengine duniani hawafanyi hivyo naangalia Marekani Ulaya n.k hawafuji matumizi hivyo. Hufanya hivyo wakija Afrika sijui kwa nini. Au huko Afrika wanaishi watu gani. Kwa hili nahisi si matumizi mazuri ya fedhaLeo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
View attachment 1390050
Ukitamani aende na toyota porte moja tu eeh, rais wa nchi kubwa kama TzLeo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
View attachment 1390050
au vitsUkitamani aende na toyota porte moja tu eeh, rais wa nchi kubwa kama Tz
Una roho ya umasikini sana ndugu yangu!
Google Image Result for https://www.auto-data.net/images/f34/Toyota-Porte.jpg
Wanabana matumizi banaAmbulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
Inabidi ifike wakati ushabiki maandazi tuuweke pembeni tuongee real facts.. Ndicho nilichofanya..
Sent using Samsung S6 Edge
Wew hutaki madereva wapate posho mkuu, acha roho mbayaaaAlipokwenda Mbeya mwanzoni mwa 2019 kulikuwa magari kati ya 80- 100. Zote hizo zinakula mafuta na maofisa na madreva waliotoka nje ya mkoa wanakula posho ya kuwa nje ya kituo. Halafu bado anadai eti ana bana matumizi kwa ajili ya wanyonge.