Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Nahis wanatumia ndumba za hallucination maana mtu kwa akili zako timamu huwez kubali kupigwa na watu kama hawa.
Kasome(goigle) kuhusu Cults ndio utajua hakuna cha ndumbawala hallucinations..
Kwanza ukisha aamini kwenye vitu visivyothibitishika ndio rahisi kuingia kwenye hayo mambo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Hahaha hebu rudi kwenye mada please....vip umeokoka[emoji23][emoji23][emoji1787]

Unataka nikutendee muujiza gani leo[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa madam ukitaka nifanyia muujiza hebu ibuka hapa kejo juu niko na dear deficiency juu umetumia hiyo dear kumuita mwanamke
 
Mmmmh....sadaka ni nyingi sana atafilisika jamani
Sema kinachonichekesha wanapingana. Ndugu yangu alipewa mafuta na demu wake anasali kwa mwamposa, sasa nikawa nampa story sister nikidhani atafurahi ndugu yake anaelekea kwenye uokovu. Nikasikia masikini anatumia vitu asivyojua anaingia maagano na mizimu ya huyo mwamposa. mungu amsaidie. Siku nyingine nasikia anakandia yule sijui anajiita nabii gani alikuwa ana kanisa kule skanska.
Yani hawaaminiani kila mmoja wao anaamini anakosali tu.
 
Haahaaahaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiii uko kama mimi!

Mimi nilisukumwa nikakataa kuanguka nikamuuliza mbona unanisukuma kwa nguvu tena kwa kuangukia mgongo kwenye tiles....nikaambiwa kaa pembeni we una pepo mchafu, badae hawakushughulika na mimi tena ( nikapotezewa)

Na hii iliikuwa niko kwenye utafiti wangu kuhusu haya makanisa, kote nimezunguka nawajua vizuri sana! ( Mpaka baba aliponikataza ndo nikaacha kwenda)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mara uangukie kichogo yakukute ya kanumba akuuuu.
 
Sema kinachonichekesha wanapingana. Ndugu yangu alipewa mafuta na demu wake anasali kwa mwamposa, sasa nikawa nampa story sister nikidhani atafurahi ndugu yake anaelekea kwenye uokovu. Nikasikia masikini anatumia vitu asivyojua anaingia maagano na mizimu ya huyo mwamposa. mungu amsaidie. Siku nyingine nasikia anakandia yule sijui anajiita nabii gani alikuwa ana kanisa kule skanska.
Yani hawaaminiani kila mmoja wao anaamini anakosali tu.
Hehehehe[emoji23][emoji1787] hataree tupu

Mi ntakomaa na Bible tu mpaka mwisho, mpaka na hawa watu wameelezewa kwenye agano jipya, Yesu hajaficha kitu, na kawapa makavu yao... nani exactly kinachotokea sasa hivi ulimwenguni[emoji848]

Ukiwa msomaji wa biblia haya mambo hata hayakubabaishi
 
Duh!.huyo jamaa kakosea jinsi ya kudanganya ushuhuda wake.
 
Mama alikuwa amejipara... Alikuwa ametengeneza ocult.
Akamalaghai hadi mama kanunba eti anaenda kumwonyesha kanumba kufika kamwonyesha eti mdada kanisani kwake akasema ndo roho ya kanumba imeingia hapo..
Yule mama alikuwa katengeneza ocult kabisa yani waumini wakimwona wanasujudu yani kuna muda unajiuliza hivi ubongo uwa unapigwa shoti au.
Kuna video niliona eti wanapigana vita ya amagadon. Yani watu wazima si wanawake si wanaume wanaviringishana kwenye mchanga halafu yeye huyo zumaridi anasema kwenye macho ya nyama unaona kawaida ila ulimwengu wa roho wanapigana hapo wanaelekea kushinda ni vita kali [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila yeye alikuwa hapigan hataki chafuka
Haaahaaahaaahaa asee hapana asee[emoji848][emoji848]

Ila Wabongo vilaza au kulogwa?
 
Haaahaaahaaahaa asee hapana asee[emoji848][emoji848]

Ila Wabongo vilaza au kulogwa?
Sielewi aisee, na kuna yule sijui wa tanga alikuwa anahubiri mara ambebwa mwanzo mwisho mara awakanyage waumini.
Nahisi moyoni wanakuaga wanacheka hili jamaa limesoma lina cheo kikubwa naliambia lilale chini nilikanyage linalala. Nadhani hiyo inawafanya wajihisi powerful
 
Ushuhuda una chembe chembe za miujiza

Kihalisia kiwango cha mwisho kuhifadhi kwenye simu ni chini ya milion 4

Ila kwa mwamposa lolote linawezekana, yale maji yana power ya kupumbaza servers za mitandao na kufanya milion 10 iwe detected kama milion 1

Halafu kingine ambacho shuhuda hakukisimulia ni pesa ya makato, unajua ukishapata upako wa mwamposa hakuna muamala wowote ambao utakuwa na tozo wala makato?

Ni muda tu haukuwa rafiki ila shuhuda alikuwa na mengi ya kusimulia na yakushangaza na kuonesha ukuu wa Mungu kupitia nabii wake mnyakyusa mwamposa

Shalom
Laini ya simu kwa sasa inaweza kuhifadhi mpaka mil 10 bila kuomba upgrade, laini yangu huwa inakaa na hiyo hela, na pia kwenye kupokea hela hakuna limit kwa siku unaweza kupokea mil 10 yote lakini kutoa kwa siku mwisho mil 5 kesho tena waweza kutoa mil 5
 
Mama alikuwa amejipara... Alikuwa ametengeneza ocult.
Akamalaghai hadi mama kanunba eti anaenda kumwonyesha kanumba kufika kamwonyesha eti mdada kanisani kwake akasema ndo roho ya kanumba imeingia hapo..
Yule mama alikuwa katengeneza ocult kabisa yani waumini wakimwona wanasujudu yani kuna muda unajiuliza hivi ubongo uwa unapigwa shoti au.
Kuna video niliona eti wanapigana vita ya amagadon. Yani watu wazima si wanawake si wanaume wanaviringishana kwenye mchanga halafu yeye huyo zumaridi anasema kwenye macho ya nyama unaona kawaida ila ulimwengu wa roho wanapigana hapo wanaelekea kushinda ni vita kali [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila yeye alikuwa hapigan hataki chafuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aki si mnanichekesha hizi shuhuda[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Sielewi aisee, na kuna yule sijui wa tanga alikuwa anahubiri mara ambebwa mwanzo mwisho mara awakanyage waumini.
Nahisi moyoni wanakuaga wanacheka hili jamaa limesoma lina cheo kikubwa naliambia lilale chini nilikanyage linalala. Nadhani hiyo inawafanya wajihisi powerful
Hahahahaha.... mwanaume mzima na mbupu zako unalala chini nabii fake akukanyage[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wana mbwembwe sana asee
 
Unajiona billionaire kumbe mfukoni huna hata 100 nyekundu. Mimi nilijaribu kwenda kanisa moja kudadisi baada ya rafiki kuniconvince sana. Wakawa wanapita kuombea watu kwanza fungeni macho mimi hua sifungi ng'ooo. Mara naona nasukumwa nikasema sianguki sukuma mwingine yupo nyuma anidake nikajikaza mpaka ikabid nijiachie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baadae mchungaji akatangaza kuna wageni humu ndani hawafai kanisani ni watu hatari sana. Nikajua ni mimi tu [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukafukuzwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]

Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]

Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.

Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.

Hela zote hajui zinatoka wapi.

Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Hakuna kitu kama hicho, hapo watu wanapigwa sana kwa shuhuda za uongo.
 
Kila siku tunasema tangu lini nabii akawa mnyakyusa
 
Back
Top Bottom