Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Tanzania tulipofika, tulihitaji mtu kama huyo na tumempata!.Tume ya uchaguzi ZEC miaka yote imekuwa ikirudia makosa kwa makusudi ikijua mpo mtakaoiunga mkono, najua unajua Hitler, Idd Amin na Mussolini nao walikuwa na mashabiki kindakindaki kama nyinyi watu wanaoona kwa jicho moja.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Wanabodi, Angalizo. Neno dikiteta sio neno baya kama lengo la matumizi yake ni lengo jema. Tukisema Rais Magufuli ni dikiteta, hatumaanishi ni dikiteta katili kama Hitler, Musolini, au Iddi Amini, no way, Magufuli ni dikiteta mwema au dikiteta mzalendo anayeitwa a Benovelent Dictator!, kama...