Huu ndio Mtihani kwa ACT-Wazalendo: Kukubali maridhiano na kuunda Serikali

Huu ndio Mtihani kwa ACT-Wazalendo: Kukubali maridhiano na kuunda Serikali

Tume ya uchaguzi ZEC miaka yote imekuwa ikirudia makosa kwa makusudi ikijua mpo mtakaoiunga mkono, najua unajua Hitler, Idd Amin na Mussolini nao walikuwa na mashabiki kindakindaki kama nyinyi watu wanaoona kwa jicho moja.
Tanzania tulipofika, tulihitaji mtu kama huyo na tumempata!.

P
 
Ningekuwa mimi Mwinyi wala nisingekubali, yaani nishinde kwa > 75% halafu mtu aniambie tugawane madaraka? Huu ni ujinga mtu aliyepata 10% ya kura hana uwezo wowote wala hastahili hata kusikilizwa, akafanye homework yake next time aje vizuri, ...
Sio watu wote wana roho za kinyama kama wewe, kuna wengine wana roho za binadamu! Akijuwa wazi kuwa amedhulumu roho yake inamsuta na anajaribu kufanya toba kwa kurudisha japo kiasi flani alichodhulumu!
 
Mimi ningemshauri Maalim, kama atakubali kuingia kwenye serikali basi awe na demands ambazo huyi rais wa kulazimishwa azikubali. Kwanza kikosi cha mazombi kifutwe, pili wawajibishwe wote waliohusika katika kuruhusu silaha za moto kutumika na wauwaji wa raia wachukuliwe hatua, uchaguzi ngazi ya wawakilishi na wabunge urudiwe. Vyenginevyo awaachie sirikali yao tu waendeshe watakavyo wenyewe, tofauti iliopo Zanzibar ni kubwa na muhimu kuliko Zanzibar yenyewe saiv. Maalim akikubali ivi ivi bila demands basi ajue ameua upinzani 2025, na asitegemee kama kutakuwa na muamko wa watu mana hakuna jipya atakalowaambia wananchi wakatambua kuwa ni maneno tu.
nani atamkubalia? watampiga chini na mapovu yataendelea mtandaoni
 
Ehee [emoji44][emoji44][emoji44].maalim alifanya ujinga kususia uchaguzi wa marudio mwaka 2015?.
Hoja nzuri sana hii.
Uchaguzi wa 2015, Maalim Seif akiwa CUF, walifanya ujinga kususia uchaguzi ule wa marudio, na matokeo ya uchaguzi huu ni kufidia makosa, sasa Maalim kupitia ACT, ameadhibiwa. Hata hivyo, kufanya kosa, si kosa, kosa ni kurudia kosa, Maalim Seif alifanya Kosa ile 2015, sasa 2020, asilirudie kosa!.

Wachumia tumbo kama nyie mnatia hasira sana

Yani tumbo lako linakufanya usione watanzania wenzako waliouwawa, walioteswa, waliopigwa na kuumizwa vinay waliodhalilishwa
Unatuambia habari ya kutorudia kosa
Uroho wenu wa madaraka unawafanya muue mpaka watoto wadogo hamna hata aibu

Huwa nasema mara zote ni heri shetani kuliko CCM.

Jinga kabisa!
 
Hata huku Bara, Mbowe,Lissu na Zitto, wanaaweza kualikwa Magogoni lengo likiwa ni kuonyesha wafadhili kuwa kuna maridhiano ili waendelee kutoa fedha.

Hivyo,msishangae hao niliowataja na wapinzani wengine wakaanza kushawishiwa kwa kupewa ubunge wa kuteuliwa ingawa naamini kamwe hawawezi kukubali.
Usiwasemee mkuu, madaraka ni matamu mno. Unafikri ka Zitto kaahidiwe Uwaziri wa fedha katakataa? Wacha tuone tunakoenda! Jumuia ya m kimataifa ndiyo itusaidie tu!
 
Tanzania tulipofika, tulihitaji mtu kama huyo na tumempata!.

P
......tulimuhitaji mtu ........! Mbona sijakuelewa, unaongelea ZEC (sic) ya Tanzania au ZEC ya Zanzibar ambayo mimi naiongelea, unamaana tulikuwa tunamuhitaji Mwinyi!
 
Hoja nzuri sana hii.
Uchaguzi wa 2015, Maalim Seif akiwa CUF, walifanya ujinga kususia uchaguzi ule wa marudio, na matokeo ya uchaguzi huu ni kufidia makosa, sasa Maalim kupitia ACT, ameadhibiwa. Hata hivyo, kufanya kosa, si kosa, kosa ni kurudia kosa, Maalim Seif alifanya Kosa ile 2015, sasa 2020, asilirudie kosa!.
P
Haukua uchaguzi bali ni mazoezi ya kijeshi!! Seif akikubali kuridhiana na mwinyi wananchi watatafsiri ana maslahi binafsi
 
CCM wa humu JF mnashangaza sana, mtu wenu ameshinda kwa kishindo, na hapo hapo mnamtaka mpinzani akubali kuwa makamo wa raisi, mnaleta misemo sijui 2015 alifanya makosa kama kwamba nyinyi Ndio mliokuwa baraza kuu la chama!!! Woga wote wa nini? Tulieni mfurahie ushindi na mgoje teuzi, ya Maalim muachie upinzani, eti oooh!!! alifanya makosa kutokushiriki!!!!!! kwani wewe ndie hakimu wake? Wewe ni Mzanzibari? watu bwana!!!!!
 
Hoja nzuri sana hii.
Uchaguzi wa 2015, Maalim Seif akiwa CUF, walifanya ujinga kususia uchaguzi ule wa marudio, na matokeo ya uchaguzi huu ni kufidia makosa, sasa Maalim kupitia ACT, ameadhibiwa. Hata hivyo, kufanya kosa, si kosa, kosa ni kurudia kosa, Maalim Seif alifanya Kosa ile 2015, sasa 2020, asilirudie kosa!.
P
Njaa
 
Hahaha CCM ni wajanja sana walahy
Watu wengi wanadhani Maalim alikataa kujiunga nao kwasababu tu ya kugoma

Ukweli ni kwamba alishakaa ile ofisi akaona ni usanii mtupu mafaili yote yanaishia Ofisi ya makamu was pili(De facto Waziri Kiongozi sasa)

Unapewa kila kitu na serikali gari,ulinzi,ofisi na nyumba ila mpaka ziara akianza kuzunguka mikoani RCs,DCs wala vyombo vya dola hawampi ushirikiano kuratibu anaratibiwa na wenyeji kutoka CUF

Zinakua kama ziara za kuongea na wanachama akaona ukhanithi huo
Wampe Hamad Rashid maana anawaunga mkono labda atasaidia kuzuia mmbomoko ulioko zenji
 
Wampe Hamad Rashid maana anawaunga mkono labda atasaidia kuzuia mmbomoko ulioko zenji

Hawezi kupewa kwakua hajafikia 10% hata ule uchaguzi was marudio was March 2016 baada ya jecha kuweka Moira kwapani pia hakufikia 10% japokua alishiriki ndomaana akaishia kupewa uwazir was Afya tu
 
Hoja nzuri sana hii.
Uchaguzi wa 2015, Maalim Seif akiwa CUF, walifanya ujinga kususia uchaguzi ule wa marudio, na matokeo ya uchaguzi huu ni kufidia makosa, sasa Maalim kupitia ACT, ameadhibiwa. Hata hivyo, kufanya kosa, si kosa, kosa ni kurudia kosa, Maalim Seif alifanya Kosa ile 2015, sasa 2020, asilirudie kosa!.
P
Paskali hii mada we ukupaswa kuchangia sababu chama chenu kinadumisha fikra za mwenyekiti, we ulipaswa kumsikia mkiti kwanza. Na pasina Shaka mkiti wako fikra zake 1, anataka ccm mbunge, ccm diwani na ccm raisi. 2, hataki kuamkia wazee anaowazidi madaraka.3. Seif kwake ni no sababu anapenda zaidi wanao mtukuza.
Nyie CCM chambueni ya kwenu Hanna nia njema na upinzani mnatamani muwatose baharini Sasa unafiki hautakiwi kwa nyie wa kijani
 
Hoja nzuri sana hii.
Uchaguzi wa 2015, Maalim Seif akiwa CUF, walifanya ujinga kususia uchaguzi ule wa marudio, na matokeo ya uchaguzi huu ni kufidia makosa, sasa Maalim kupitia ACT, ameadhibiwa. Hata hivyo, kufanya kosa, si kosa, kosa ni kurudia kosa, Maalim Seif alifanya Kosa ile 2015, sasa 2020, asilirudie kosa!.
P

Act wakikubali watakuwa wamesaliti wazanzibar mauji yote yale na kuchomewa nyumba bado washirikiane na wauaji....
 
Hoja nzuri sana hii.
Uchaguzi wa 2015, Maalim Seif akiwa CUF, walifanya ujinga kususia uchaguzi ule wa marudio, na matokeo ya uchaguzi huu ni kufidia makosa, sasa Maalim kupitia ACT, ameadhibiwa. Hata hivyo, kufanya kosa, si kosa, kosa ni kurudia kosa, Maalim Seif alifanya Kosa ile 2015, sasa 2020, asilirudie kosa!.
P
Tatizo la Zanzibar ni Maalim Seif, yeye analazimisha kuwa rais wakati wananchi walio wengi hawamtaki. Yeye anataka kulazimisha kisicholazimika.
 
Back
Top Bottom