Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Watendaji wa serikali sijui wamefikiria Nini nauli ya mchongoko ilipaswa isitofautiane sana na Ile business class ya loco kama walikuwa wanataka utofaut in na viongozi au CEO wangeteua behewa Moja tu na wakaweka hizo Bei za 150,000 na pale terminal wakawatengenezea bonge la lounge wakati wanasubiri huduma.Hakika mie nimeduwaa yaani hata behewa za sgr yetu ya kawaida ziko vizuri kuliko hili mchongoko, au kuna watu walichonga mchongo wao kupitia mchongoko huu?
Mkuu hata mkorea Yuko njema ni Hela yako tu.Hilo behewa la Kenya ni mkono wa Mchina na hilo basi ni Yutong nalo ni mkono wa Mchina
Hayo mabehewa ya mchongoko ni Mkorea Kusini
Ukweli ni kwamba inapohusu interior design ya vyombo vya usafiri wa umma Mchina anajua sana
Maoni yangu wampe kazi Mchina awadizainie behewa lenye level halisi za royal
Sio wewe na wenzio kwenye thread ya Dar vs Nrb niliwaambia hii ni scum na itabuma? Mara ya mwisho naangalia ilikuwa na abiria chini ya 20% sijui iliondoka na wangapi. Kwa nauli hizo itawadodea na watu watabaki na ile ordinary service. Yaani mwendo ule ule 160kph kuwahi dakika 20 ndio mtu alipie 150,000? Labda wale wanaolipiwa na wako wachache hawawezi kujaza hio treni. Hio itakuwa inagharamiwa na mapato ya ordinary service,Watendaji wa serikali sijui wamefikiria Nini nauli ya mchongoko ilipaswa isitofautiane sana na Ile business class ya loco kama walikuwa wanataka utofaut in na viongozi au CEO wangeteua behewa Moja tu na wakaweka hizo Bei za 150,000 na pale terminal wakawatengenezea bonge la lounge wakati wanasubiri huduma.
Yaan nilipie royal halafu nikasimame kusubiri foleni ya kupanda
Serikali inatakiwa kuwa na Wabunifu wake...! Tatizo Kuna Watu wanafanya kazi ambazo sio zao...!Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.
Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258
Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.
Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261
Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
π coachYani royal class ina seat kama za isamiloπ€£
Mkuu hata mkorea Yuko njema ni Hela yako tu.
Jamani hawa watendaji wetu wanamatatizo sana..Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.
Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258
Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.
Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261
Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
We mwana Jau kweli unautani na Lucas Mwashambwa π€£Nimebubujikwa na machoziπ€£π€£π€£
View attachment 3140270
Binadamu hajawahi kuridhika hata siku moja,vichwa vya kwanza vya SGR vilivyokuja watu walipiga kelele kuwa treni tumepigwa ni vichwa used,wakaona isiwe kesi,wakawaambia wakorea tuwekeeni pua ili waridhike mkawekewa pua ya kuchongoka,sasa mnapiga kelele tena viti navyo sio...Siku hizi pua ya treni nayo inalipiwa
Labda umenichanganya nilikuwa against nauli hii sio project, hii nauli ni kubwa sana kaka.Sio wewe na wenzio kwenye thread ya Dar vs Nrb niliwaambia hii ni scum na itabuma? Mara ya mwisho naangalia ilikuwa na abiria chini ya 20% sijui iliondoka na wangapi. Kwa nauli hizo itawadodea na watu watabaki na ile ordinary service. Yaani mwendo ule ule 160kph kuwahi dakika 20 ndio mtu alipie 150,000? Labda wale wanaolipiwa na wako wachache hawawezi kujaza hio treni. Hio itakuwa inagharamiwa na mapato ya ordinary service,
Umenichanganya na geuza uloleSio wewe na wenzio kwenye thread ya Dar vs Nrb niliwaambia hii ni scum na itabuma? Mara ya mwisho naangalia ilikuwa na abiria chini ya 20% sijui iliondoka na wangapi. Kwa nauli hizo itawadodea na watu watabaki na ile ordinary service. Yaani mwendo ule ule 160kph kuwahi dakika 20 ndio mtu alipie 150,000? Labda wale wanaolipiwa na wako wachache hawawezi kujaza hio treni. Hio itakuwa inagharamiwa na mapato ya ordinary service,
Wateja wa Roya sio wengi kama tunavyojiamijisha ila tuna wateja wengi wa Hali za kawaida wa Kila sikuSerikali inatakiwa kuwa na Wabunifu wake...! Tatizo Kuna Watu wanafanya kazi ambazo sio zao...!
Nna uhakika Kabisa Kwa Budget ambayo walitoa Kwa kazi hii,. Waangepata Mbunifu mzuri kuwaandalia michoro ya mwonekano wa kisasa wa Mabehewa haya ya Royal, tungepata mwonekano wa Ndani ya. Ndege Kabisa Kwa Gharama ile, coz usikute Mabbehewa ya Royal ni 4 tu.
Nimecheka kuliko nilivyosikitikia seat za Royal...πππNimebubujikwa na machoz
Issue sio viti ila halo kabei hapana mkuuBinadamu hajawahi kuridhika hata siku moja,vichwa vya kwanza vya SGR vilivyokuja watu walipiga kelele kuwa treni tumepigwa ni vichwa used,wakaona isiwe kesi,wakawaambia wakorea tuwekeeni pua ili waridhike mkawekewa pua ya kuchongoka,sasa mnapiga kelele tena viti navyo sio...