Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

hatuko mbali na maoni yako mkuu
 
Behewa la royal ni moja mengije saba ni bussiness class ambayo wanakaa watu 79,
 
Halafu hizi siti za kuangaliana duh, unatoka dodoma mbaka Dar umeangaliana na mtu, ukifika sura yote umeshaiweka kichwani. Kama ni adui yako itabidi muombane tu msamaha, hakuna namna
Mbaka ndiyo nini nyie wangese!!?
 
tuwape kandarasi bunge la kenya ije ituondolee haya magachagwa ya tanzania
 
Hizo train wamenunua North Korea kwa Kim Jong Un?
 
Mmh, unaweza ukatetea jambo Hadi ukaona Sasa Jamani basi...siti kama za lile basi wanaita kidinilo linaenda mahenge....hiv ndo siti kweli hzo za royal au wamekosea?.
 
Behewa la royal ni moja mengije saba ni bussiness class ambayo wanakaa watu 79,
Hapo umeweka vizuri,hilo behewa la Royal limeunganika na kichwa moja kwa moja,nadhani wangeweka wazi raha inayopatikana humo ndani tofauti na hayo mabehewa yatakayokuwa yanavutwa ambayo ni business class...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…