Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

endelea na ramli na ushirikiana wako nonsense gentleman 🐒
EACL wamevurumisha mahakamani, Kule EU kapiga banned ndege za Air Tanzania, Mmejadiliwa ndani ya Bunge la Ulaya kutokana na ukiukwaji na ukandamizaji wa haki za binadamu. Kituo kinachofwata ni ICC THE HAGUE hapo akili zitawakaa sawa.
 
ulofa wa kifikra ni mzigo mzito sana katika kuelewa na kufahamu mambo hayo madogo mno ya hizo taasisi zenye matatizo chungu nzima.

Pole sana gentleman 🐒
 
ulofa wa kifikra ni mzigo mzito sana katika kuelewa na kufahamu mambo hayo madogo mno ya hizo taasisi zenye matatizo chungu nzima.

Pole sana gentleman 🐒
Endeleeni kushupaza mafuvu na shingo..........muda wa kupasuka na kuvunjika unakuja.
 
ramli ni kitu nonsense sana mwenye akili timamu kung'ang'ana nazo gentleman 🐒
Ccm ilishakataliwa na Watanganyika wazalendo, imebaki inapumua kwa msaada wa dola tu.
Na matumizi haya ya dola kuiokoa ndiyo yanayosababisha Watz wadai reforms.
 
Ccm ilishakataliwa na Watanganyika wazalendo, imebaki inapumua kwa msaada wa dola tu.
Na matumizi haya ya dola kuiokoa ndiyo yanayosababisha Watz wadai reforms.
ramli na imani potofu za ushirikina ni mzigo mzito wa kimaskini sana gentleman kifikra 🐒
 
mwambieni huyo mme wa mtui aangalie na ya marekani mbona atrump katuma majeshi kuzuia maandamano sijamsikia akilalamika au kwasababu huku kunna mke wake ndiyo maana anabwekabweka hovyo huyu juha nini??
 
No reforms no elections
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…