So What!!!!!TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA
"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa kuzungumza."
— Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam (tweet ya tarehe 10 Jun,2025, Muda:7:46PM)
View attachment 3363829
Wakati dunia inatazama kimya, haki ya Watanzania kuchagua viongozi wao kwa uhuru inazidi kuzimwa.
Je, tunaelekea kwenye uchaguzi wa kidemokrasia au maigizo yaliyoandaliwa kwa mtindo wa upande mmoja?
Demokrasia haiwezi kustawi penye woga, ukandamizaji na mdomo kufungwa.
Ni wakati wa kusimama, kuuliza maswali, na kutetea haki!
#Tanzania #Demokrasia #Uchaguzi2025 #RobertAmsterdam #Haki #SautiYaRaia #NOREFORMNOELECTION
Na katiba haisemi kwamba chama kimoja kati ya 20 ikisusa basi uchaguzi hautafanyika. Hiyo msimamo ya skanka na mapovu mdomoni haitaisumbua serikaliUchaguzi no lazima ufanyike, hakuna wa kuuzuia
Mi huwa nakuheshiiiimu ukiletaga habar zako za Yanga, sikujua kama na we ni fala ******* namna hii
Watu mna hisia!Hebu jiulizeni huku mmefikaje? Kituo kifwatacho ni "ICC THE HAGUE" ambapo ni AMSTERDAM, jina la Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam. Hivyo kaeni kwa kutulia.
View attachment 3364390
Kua mzalendo mkuu.....Fumbo Mfumbie Mjinga, Mwerevu Anatambua.
#NOREFORMNOELECTION
Mzalendo ni kuwa Mfiraji, Mtekaji na Muuaji.Kua mzalendo mkuu.....
October Piga kura....Kwa maendeleo yako
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Time will tell. Soon, very soon.So What!!!!!
Mwenye hisia ni yule anayekopa TRIL.30 kwa mkupuo ili kufanya ufisadi wake. Huku Gawio la Serikali likiwa ni TRIL.1 per year.Watu mna hisia!
Ila unfortunately the wazunguz are not there to help!
Wamtumie mchungaji Msigwa kada wao awasemeeCCM ipo kwenye nyakati ngumu sana .
Mbaya zaidi imeishiwa hadi watu wema wenye sifa ya kusikilizwa wanakuzungumza .
Wale wazee wawili wapo upande wa raia , yule mmoja miongoni mwake amekosa mvuto na yule Baba wa mtoto hana alichokizungumza zaidi ya kujipaka tu kinyesi ,bora hata asingelizungumza ili kuadd value kwa mwanae .
CCM iko kwenye wakati mgumu sana .
Sawa mkuuMwenye hisia ni yule anayekopa TRIL.30 kwa mkupuo ili kufanya ufisadi wake. Huku Gawio la Serikali likiwa ni TRIL.1 per year.
Sifa njema hujijenga kwa matendo, si kwa maneno.Sawa mkuu
Amani inaanzia ndani, ukioona ndani kuna fuka, ujue moto unakaribia.Hatutaki watu wanaotuvurugia utanzania wetu
Sawa mkuuSifa njema hujijenga kwa matendo, si kwa maneno.
UKWELI mtupu lakini uwe makini kwa sababu wenzao waking Wasira wamekubali kuwa wataongoza mpaka yesu arudi