Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.

naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1...
Umepatia game zote isipokuwa goli la yanga ndio goli la Bamako scoring time
 
Uko vizuri kwakweli.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Na Mimi nimekuja kutoa Mrejesho we jamaa una jicho
 
Mara nyingi najiuliza wale wanaoshinda mkeka wa milioni Mia 5 wanawezaje..kumbe Ni nyie
 
Tupe ya wikiend hii, au mkuu ulibahatisha hivyo unajitunzia heshima yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…