Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Igweeeeeeeeeeeeteam zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.
naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jf ht ukinuna utachekaaYanga nao wana jina la mnyama, wanaitwa vyura
Ulitabiri sawa kabisa.team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.
naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1...
Umepatia game zote isipokuwa goli la yanga ndio goli la Bamako scoring timeteam zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.
naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1...
Uko vizuri kwakweli.Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.
Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu yamerudi upya.
Vipers vs Simba = 0-1
Upande wa Yanga wao hali pia itakuwa nzuri kiasi kwa weekend hii ingawa ni hadi dakika za mwisho wa mechi wataweza kusawazisha na watapata sare ila kiujumla watamiliki sehemu kubwa ya mchezo ingawa kutakuwa na fitna za waziwazi.
Bamako vs Yanga = 1-1
Ka edit,hebu leta screenshot basi??Mbona umeEdit uzi ?
Ndio lazima lolote litokee, ni lipi hilo nadhani hicho ndo kitendawiliNarudia lolote linaweza kutokea...