Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.

naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu yamerudi upya..
vipers vs simba = 0-1

Upande wa Yanga wao hali pia itakuwa nzuri kiasi kwa weekend hii ingawa ni hadi dakika za mwisho wa mechi wataweza kusawazisha na watapata sare ila kiujumla watamiliki sehemu kubwa ya mchezo ingawa kutakuwa na fitna za waziwazi.
Bamako vs Yanga = 1-1
Wee jamaa ni noma
 
Huyu jamaa covid 19 itabidi tumtumie aisee
 
Attachments

  • Screenshot_20230226-205134_Chrome.jpg
    Screenshot_20230226-205134_Chrome.jpg
    91.8 KB · Views: 3
team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.

naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu yamerudi upya..
vipers vs simba = 0-1

Upande wa Yanga wao hali pia itakuwa nzuri kiasi kwa weekend hii ingawa ni hadi dakika za mwisho wa mechi wataweza kusawazisha na watapata sare ila kiujumla watamiliki sehemu kubwa ya mchezo ingawa kutakuwa na fitna za waziwazi.
Bamako vs Yanga = 1-1
100%
 
We Jamaa [emoji91]
 
Utabiri wako umetimia[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom