Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu,
Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu.
Akubali yaishe..
Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity..
Amekua ni miongoni mwa viongozi wa wa kipekee sana wa kuigwa, AfrIca na duniani, kwa wanasiasa wazee kwa vijana...
Asita kusaini musuada wa fedha kwa mwaka 2024/2025, uliosababisha maandamano makubwa ya vijana yaliyosababisha uharibifu mkubwa wa jengo la bunge la kitaifa, miundobinu mbalimbali, na kugharimu vifo vya waandamanaji kadhaa..
Aamua kuutupilia mbali wote kama ulivyo..
Aitisha mjadala wa kitaifa na vijana na makundi mengine kujadiliana mambo yao na uelekeo wa pamoja kama Taifa kueleke mbele....
Aagiza kupunguza na kubana matumizi ya serikali, ikiwa ni pamoja na katika ofisi yake na maraisi waliotangulia..
Asitisha ununuzi wa magari ya umma na mengine yote yasiyo ya lazima na yasiyo muhimu kwa taifa...
Akubali kuanza upya kijadiliana na kushirikuana na kila mkenya kusonga mbele