Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Huu ni uzi ambao nimekuwa nikiusoma nakuurudia tena na tena, usiku na mchana bila kuchola tangu uliporushwa rasmi.
Uzi huu unenifundisha umuhimu wa kufanya maamuzi magumu ili mradi tu kulinda maslahi yangu mapana mimi na familia yangu kama vile Urusi afanyavyo kule Ukraine.
Hapa Kerubi mwenzangu wa Mfalme Zumaridi Ushimen alitutendea sana haki.
Sio mijitu vamizi inavamia tu nyumbani kwako bila hata taarifa kwasababu tu ni ndugu zako, wanakuja ndugu tisa na kajogoo kamoja kachanga halafu wanakaa miezi mitatu bila ya kujalisha hali ya nyumbani kwako.
Hebu fikiria una vyumba viwili na sebule, chumba cha mtoto wako na chenu, halafu mnavamiwa na mijitu yote hiyo. Halafu inataka yenyewe ilale vitandani, yaani wewe na mkeo muwapishe wao, pia mtoto wenu asilale chumbani kwake walale wao.
Michawi ya namna hiyo timulia.mbali, ikiwezekana ipeleke hata Kituo cha basi cha Magufuli pale Mbezi Luis ukawalaze kwenye mabenchi ili watie adabu.
Leo nimeelewa kwanini mzee alifanya maamuzi yale 30 years ago
www.jamiiforums.com

SoC01 - Umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo
Utangulizi Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake ulianza mwaka 2000 lengo kuu likiwa kuongoza harakati za maendeleo ya uchumi na jamii zitakazoiwezesha...
www.jamiiforums.com