Huu ndio uzi wangu bora kwa muda wote, na wewe tupia wako

Huu ndio uzi wangu bora kwa muda wote, na wewe tupia wako

Ile ya #deception anaeelezea kuhusu ukimwi na ile historian ya maisha by analyse
Japo Kuna uzi wenye maoni ya kufurahisha Kama ule wa kumla demu bila kimasihara na bila kutarajia japo kupitia huu uzi ntazipata zingn nzur
 
Ile ya #deception anaeelezea kuhusu ukimwi na ile historian ya maisha by analyse
Japo cjajuA Kam Kuna uzi wenye maoni meng na kufurahisha Kama ule wa kumla demu bila kimasihara na bila kutarajia japo kupitia huu uzi ntazipata zingn nzur
Deception
 
Ulishawahi kula tunda kimasihara? Huu ndo uzi bora zaidi kuwahi kuandikwa humu.​

Kwanza unatoa mbinu za kutongoza kila sample ya mwanamke.

Mle ndani kuna watu wamekula wabibi,wamama,wake za watu, mabosi, matrafick, askari magereza.

Humo hadi masister wameliwa
Hatari zaidi hadi waganga wameliwa... Achilia mbali vichaa.

Hatari zaidi hadi ndugu wamekulana.

Ni uzi ambao unakupa mbinu ambazo ukirusha popote ndoano inadaka.
[emoji846][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nina kisaaa kipya mzeee soon nakitupiaaa
 
Huu ni uzi ambao nimekuwa nikiusoma nakuurudia tena na tena, usiku na mchana bila kuchola tangu uliporushwa rasmi.

Uzi huu unenifundisha umuhimu wa kufanya maamuzi magumu ili mradi tu kulinda maslahi yangu mapana mimi na familia yangu kama vile Urusi afanyavyo kule Ukraine.

Hapa Kerubi mwenzangu wa Mfalme Zumaridi Ushimen alitutendea sana haki.

Sio mijitu vamizi inavamia tu nyumbani kwako bila hata taarifa kwasababu tu ni ndugu zako, wanakuja ndugu tisa na kajogoo kamoja kachanga halafu wanakaa miezi mitatu bila ya kujalisha hali ya nyumbani kwako.

Hebu fikiria una vyumba viwili na sebule, chumba cha mtoto wako na chenu, halafu mnavamiwa na mijitu yote hiyo. Halafu inataka yenyewe ilale vitandani, yaani wewe na mkeo muwapishe wao, pia mtoto wenu asilale chumbani kwake walale wao.

Michawi ya namna hiyo timulia.mbali, ikiwezekana ipeleke hata Kituo cha basi cha Magufuli pale Mbezi Luis ukawalaze kwenye mabenchi ili watie adabu.

Leo nimeelewa kwanini mzee alifanya maamuzi yale 30 years ago

Nyoko
 
Tulitunga sisi hii lugha nyinyi mmeikuta tu!.

Tena Kuna uzi mwengine hukohuko jamii intelligence kuna jamaa kaandika kuwa binadamu mnafugwa hapa duniani mkishakuwa wengi mnakuja kuliwa!

Alieandika huo uzi kaandika ukweli ila mlivyona vichwa vigumu mtakataa by the way mtake msitake mtaliwa tu!..😎
Na nani?
 
Uzi wa yule jamaa wa kukimbia Rwanda kipindi cha Genocide alikuwa mfanyakazi ubalozi wa Tz miaka hiyo 1994.

Ulinifikirisha sana kwa matukio Yale.

Yeyote anaeukumbuka anaweza u-quote kwa faida ya wasomaji wengine.

Ila kwa ujumla nyuzi ni nyingi sana nzuri na pongezi ziende kwa waandishi wote.
 
BIla kusahau hekaya za Bill Lugano
 
Tulitunga sisi hii lugha nyinyi mmeikuta tu!.

Tena Kuna uzi mwengine hukohuko jamii intelligence kuna jamaa kaandika kuwa binadamu mnafugwa hapa duniani mkishakuwa wengi mnakuja kuliwa!

Alieandika huo uzi kaandika ukweli ila mlivyona vichwa vigumu mtakataa by the way mtake msitake mtaliwa tu!..[emoji41]
uko wapi na mimi nisome
 
Back
Top Bottom