Brasso
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 354
- 695
Uzi wa yule jamaa wa kukimbia Rwanda kipindi cha Genocide alikuwa mfanyakazi ubalozi wa Tz miaka hiyo 1994.
Ulinifikirisha sana kwa matukio Yale.
Yeyote anaeukumbuka anaweza u-quote kwa faida ya wasomaji wengine.
Ila kwa ujumla nyuzi ni nyingi sana nzuri na pongezi ziende kwa waandishi wote
huikumbuki title yake mkuu
Naomba unitag kiongozi ukiupata.Uzi wa yule jamaa wa kukimbia Rwanda kipindi cha Genocide alikuwa mfanyakazi ubalozi wa Tz miaka hiyo 1994.
Ulinifikirisha sana kwa matukio Yale.
Yeyote anaeukumbuka anaweza u-quote kwa faida ya wasomaji wengine.
Ila kwa ujumla nyuzi ni nyingi sana nzuri na pongezi ziende kwa waandishi wote.