Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

Viongozi wa Pwani ni washamba na walafi.
 
Ndugu yangu inawezekana kati ya masharti waliyopewa DPW ni kufund gharama za CCM kwenye uchaguzi.
hayo sidhani kama walipewa, ila ili waendelee kukaa na asiingie magufuli mwingine, wao bila hata kuambiwa watamwaga sana pesa kwenye kampeni, la sivyo atakayeingia ataurupa mkataba huu kwenye kilindi cha maji. ila ni zimwi litkaalowatesa miaka yao yote.
 
Tuna bahati mbaya sana kuwa na huyu Rais tuliyenaye.
Ngoja ajitengenezee legacy yake, Kikwete aliondoka na scandal zake za Tegeta Escrow, Metameta, Richmond, Songas, Samia ataondoka na Bandari syndicate
 
Yote haya yametokana na kuwa hii nafasi ya urais siyo ya kwake.huyu alihitaji wa kumsimamia na siyo yeye kuwa msimamizi.wtz tubadili katiba ili hawa wanaorithi waongoze mwaka mmoja tu na kufanya uchaguzi.maana hawa wakiongoza miaka mingi wanaweza kuipangisha nchi yote kwa waarabu na kuwafanya wajukuu zetu kuwa tegemezi.
 
"Magufuli - Msema kweli ni mpenzi wa Mungu sikuona Rais Magufuli akisaini mikataba mikubwa ya kuuza raslimali za nchi zaidi ya ku review mkataba wa GGM na kuukataa mkataba wa kichina kuchukua bandari ya Bagamoyo."
 
Matokea ya kutaka kuvaa viatu vya JPM, na kutanguliza njaa. Ni aibu Kwa taifa kubwa na huru lisilokuwa na mifumo dhabiti checks and balance
dhabiti ndio nini?
 
Shida ya huyo mama ni mvivuuu hasomi ye anasaini tu anacholetewa mezani, tumepigwa!
Na hivi wasaidizi wanamdharau ndo balaa wanamzungusha tu mama wa watu na ushungi wake
Mpaka 2030
 
Ndugu yangu inawezekana kati ya masharti waliyopewa DPW ni kufund gharama za CCM kwenye uchaguzi.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375][emoji375][emoji375]
 
Heri mimi ninayewatumikia Sukuma gang pengine watakuja nizika kuliko wewe unayewakuwadia waarabu wa Dubai usiowajua na wewe hawakujui.
Bora umekiri mwenyewe. Kumbe unawatumikia sukuma gang!!
 
Vumilieni tu, huyo bado yupo sana. Kaendeleeni na kazi zenu
 
Bora umekiri mwenyewe. Kumbe unawatumikia sukuma gang!!
Heri zimwi likujualo kuliko malaika asiyekujua. Leo ukigongwa na bodaboda unategemea mwarabu wa Dubai atakuja kukusogeza pembeni mwa barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…