Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujadiliana ndio uhai wa taifa lolote lile, taifa bila mijadala ni taifa mfu. Leo unaweza kuona haijaleta faida lkn faida yake utaiona baadae kama sio wewe watoto wako.Dah DP ndo washapewa bandari,..Sasa mijadala ilikuwa ya kazi gani?...lost of energies na time tu
Kila mtu na mapungufu yake ila yanazidiana, mapungufu ya kuiba pesa huwezi kulinganisha na mapungufu ya kuuza raslimali za nchi.Magufuli aliondoka na 1.5t
Uwanja wa ndege Chato
Kujadiliana ndio uhai wa taifa lolote lile, taifa bila mijadala ni taifa mfu. Leo unaweza kuona haijaleta faida lkn faida yake utaiona baadae kama sio wewe watoto wako.
Kwa hiyo ushoga uliopo Zanzibar na Dar ndio ustaarabu wenyeweWe ndo hovyo kweli.
Mtu wa Pwani awe mshamba wakati ndo wanaokufundisheni ht ustaarabu
Alisikika akisema kule Dodoma, hivi viatu ni vikubwa havinitoshi.Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia.
Tukiacha ule wa Chifu Mangungo hii ni baadhi ya mikataba mikubwa ya kuuza Rasilimali zetu iliyowahi kuridhiwa na marais wetu.
Rais Mwinyi - Mkataba wa kuuza Loliondo.
Rais Mkapa - Mkataba wa kubinafsisha NBC, EPA - (Alikuja kujutia baadaye - My Life, My Purpose).
Rais Kikwete - Mkataba wa Richmond na Songas.
Rais Magufuli - Msema kweli ni mpenzi wa Mungu sikuona akisaini mikataba mikubwa ya kuuza raslimali za nchi zaidi ya ku review mkataba wa GGM na kuukataa mkataba wa kichina kuchukua bandari ya Bagamoyo.
Rais SSH - Mkataba wa kuuza Bandari zetu. Inasikitisha.
Nakumbuka Nyerere aliwahi kuwaambia wazungu wasijaribu ku-temper na madini yetu kama sisi hatuwezi kuyachimba kwa elimu tuliyonayo (wakati ule) watoto wetu watakuja kuyachimba hayaozi. Je, Bandari inaoza?
tushajua ndoolengo lenu. mumuchafue ili asingombee. sasa mama tunae mpaka2030 Mungu akipendainaumiza sana moyo, na hili likikaa vizuri ni tiketi ya kumwondoa madarakani 2025. watu wakieleweshwa vizuri atapata tu kura za kuiba ila za halali hapati.
we msenge. nyerere alikuja pwani kavaa kaptura wakampa suluari.Viongozi wa Pwani ni washamba na walafi.
mkiambiwa onyesheni kwenye mkataba wapi rasimali zimeuzwa mnaanza rukaruka kama mahargwe jikoniKila mtu na mapungufu yake ila yanazidiana, mapungufu ya kuiba pesa huwezi kulinganisha na mapungufu ya kuuza raslimali za nchi.
Nyerere alikuwa msomi na wao ni wajinga.we msenge. nyerere alikuja pwani kavaa kaptura wakampa suluari.
HatariUnaulizwa umeiona mikataba yote alosaini na waarabu?
Tunaambiwa imesainiwa 36 hadi sasa tunaijua 6 tuView attachment 2667114
Tazizo ziongozi waislamu wamekosa uzalenxo kabisaTumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia.
Tukiacha ule wa Chifu Mangungo hii ni baadhi ya mikataba mikubwa ya kuuza Rasilimali zetu iliyowahi kuridhiwa na marais wetu.
Rais Mwinyi - Mkataba wa kuuza Loliondo.
Rais Mkapa - Mkataba wa kubinafsisha NBC, EPA - (Alikuja kujutia baadaye - My Life, My Purpose).
Rais Kikwete - Mkataba wa Richmond na Songas.
Rais Magufuli - Msema kweli ni mpenzi wa Mungu sikuona akisaini mikataba mikubwa ya kuuza raslimali za nchi zaidi ya ku review mkataba wa GGM na kuukataa mkataba wa kichina kuchukua bandari ya Bagamoyo.
Rais SSH - Mkataba wa kuuza Bandari zetu. Inasikitisha.
Nakumbuka Nyerere aliwahi kuwaambia wazungu wasijaribu ku-temper na madini yetu kama sisi hatuwezi kuyachimba kwa elimu tuliyonayo (wakati ule) watoto wetu watakuja kuyachimba hayaozi. Je, Bandari inaoza?
Tukiambiwa na nani, kasome andiko la Prof Shivji utaona mapungufu ya mkataba wenu.mkiambiwa onyesheni kwenye mkataba wapi rasimali zimeuzwa mnaanza rukaruka kama mahargwe jikoni